Polisi waua raia

Polisi waua raia

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Kama kawaida yao nguvu nyingi akili kidogo.
Polisi wilayani Kaliua mkoani Tabora wamempiga risasi na kumuua raia mmoja aliekua miongoni mwa kundi la wananchi waliokua wanakabiliana na polisi hao.
Wananchi walikua wanawataka kuwaadhibu wezi wa mifugo waliokua mikononi mwa polisi.

Note-kama unajipenda kaa mbali na polisi ukirusha mchanga wanarusha risasi.
 
Ukweli kuna wakati nashindwa kupata uhakika nani hatari zaidi kwa uhai wa raia hapa nchini kati ya Jambazi na Polisi wetu....
 
walishaambiwa watupige tu maana wamechoka na sisi...
 
Ukweli kuna wakati nashindwa kupata uhakika nani hatari zaidi kwa uhai wa raia hapa nchini kati ya Jambazi na Polisi wetu....

Hatari zaidi ni Polisi wetu.
Piga hesabu mwaka 2013 raia wangapi wameuwawa na polisi na raia wangapi wameuwa na majambazi.
 
dhambi hiyo ni ya Pinda halafu kwa bahati nzuri mauaji yametokea karibu na kwao. big up Pinda waambie waendelee kuua mambo yako yanyooke
 
Duh! Mkuu embu elezea vizuri!
Walichukua hatua gani kukabiliana na raia kabla ya kuwatandika za mbavu?
 
Kama kawaida yao nguvu nyingi akili kidogo.
Polisi wilayani Kaliua mkoani Tabora wamempiga risasi na kumuua raia mmoja aliekua miongoni mwa kundi la wananchi waliokua wanakabiliana na polisi hao.
Wananchi walikua wanawataka kuwaadhibu wezi wa mifugo waliokua mikononi mwa polisi.

Note-kama unajipenda kaa mbali na polisi ukirusha mchanga wanarusha risasi.

Kwa hyo ulitaka muue kisha mseme polisi wamesimamia mauaji? Kwa nini walipotaka kumwokoa nyie mkaamua kukabiliana na polisi? Pumb. Vu zenu
 
Watasema huyo mwananchi alikuwa na Silaha na alitishia usalama wa polisi.

Yaani raia mwenye jiwe anatishia usalama wa askari mwenye mguu wa kuku!
 
Hatari zaidi ni Polisi wetu.
Piga hesabu mwaka 2013 raia wangapi wameuwawa na polisi na raia wangapi wameuwa na majambazi.
Polisi wanalinda jambazi wanaua. Na idadi kubwa ni waliouwawa na watu wanaojiita wana hasira kali. Kama sio polis leo wangeongeza idadi
 
Kwa hyo ulitaka muue kisha mseme polisi wamesimamia mauaji? Kwa nini walipotaka kumwokoa nyie mkaamua kukabiliana na polisi? Pumb. Vu zenu

Taratibu ndugu yangu! Ktk utendaji kazi police kuna kitu inaitwa use of minimum force, je ilitumika kabla ya kupiga risasi?
 
Dawa ni kuiondoa kwanza li-ccm marakani kwa njia yoyote mengine yata seti yenyewe!
 
Watasema huyo mwananchi alikuwa na Silaha na alitishia usalama wa polisi.

Yaani raia mwenye jiwe anatishia usalama wa askari mwenye mguu wa kuku!

Kwani polisi siyo binadam? Kama raia wangetii sheria bila shuliti hao askari wangewaua. Na kwa hali ya sasa na kwa wachozi wa aina yako hao askari wasingechukua hatua hiyo wangeuawa wao. Kwan silaha wanazokua nazo ni mapambo? Tii sheria bila shuruti.
 
Me nahofia sana 2015,uzoefu wa miaka ya karibun unaonesha hivo,watz weng watapoteza maisha
 
Taratibu ndugu yangu! Ktk utendaji kazi police kuna kitu inaitwa use of minimum force, je ilitumika kabla ya kupiga risasi?
Mimi na wewe hatukuwepo, lkn melezo ya mleta mada yanaashiria principle hyo ilitumika. We mtu anadiriki kuandika "tunakabiliana na polisi". Mpaka kukabiliana tayari tayari wamepewa onyo
 
Watasema huyo mwananchi alikuwa na Silaha na alitishia usalama wa polisi.

Yaani raia mwenye jiwe anatishia usalama wa askari mwenye mguu wa kuku!
Kumbe jiwe haliuwi enhee? Wacheni kuharibu amani kwa kuendekeza ujinga
 
Kwani polisi siyo binadam? Kama raia wangetii sheria bila shuliti hao askari wangewaua. Na kwa hali ya sasa na kwa wachozi wa aina yako hao askari wasingechukua hatua hiyo wangeuawa wao. Kwan silaha wanazokua nazo ni mapambo? Tii sheria bila shuruti.

Halafu askari akiuwawa yanapongeza na kusema askar mzembe
 
Kwani polisi siyo binadam? Kama raia wangetii sheria bila shuliti hao askari wangewaua. Na kwa hali ya sasa na kwa wachozi wa aina yako hao askari wasingechukua hatua hiyo wangeuawa wao. Kwan silaha wanazokua nazo ni mapambo? Tii sheria bila shuruti.

kwa hiyo inamaana kwa kua walikua wanataka kuwashambulia ndio waue kwani hawakuwa na mabomu ya machozi maji ya kuwasha polisi wenyewe hawajatii sheria kwani kuua ndio kutii sheria,na siku zote huwa wanaambiwa piga likinuka hua wanawaruka na tatizo kubwa polisi wenyewe wengi hawajui sheria kwa hiyo ni vigumu sana unasimamia sheria wakati hujui sheria
 
Back
Top Bottom