Polisi waua raia Tarime wananchi wakinukisha.

Polisi waua raia Tarime wananchi wakinukisha.

Wapuuzi badala ya kujua kafa kwa kitu gani wanachoma mataili pengine alikuwa jambazi sugu polisi wameambua kumtungua.

kwani walio muua walimpeleka mahakamani kwanza kujua kama anahatia kama sheria inavyo tamka? Kuto kwenda shule nalo ni tatizo aisee! Unaweza kukuta hapo ulipo hata ujachamba.
 

huo ndio unafki wetu watanzania polis wakiuwawa hatusemi lolote ila polis akiua raia bila hata kujua mazingira tunaanza kupepeta midomo. ***** polis ueni kadri ya uwezo wenu mnapata mazingira magumu ya kuwalinda mangumbalu yasiyo na fadhira
 
Acha waandamane tu halafu wadunguliwe risasi kesho wakazikane.
Pumbavu sana hao raia.
Kwani mtuhumiwa hawezi kufia mikononi mwa polisi..?
Watu wanafia vifuani mwa wanawake mbona hamuandamani..?
Manina zao sana waandamanaji.!

kweli kabisa hapa subir aman ipotee heshima itakuja tu.
Kuna ng'ombe wengne kaz yao kulaumu tu. Hawaon hata tabu wanazozipata polis wetu kwa mijambas kama hyo. Hata mm naomba polisi endeleen kuua tu mnayalinda mangombe yasiyo na fadhila manina
 
Hawapa polisi wetu wamezoe kuua raia wakiwa mikononi mwao mikonoyao inavuja damu wanaharamu hawa ilaiposiku tu.....................!!!

Hata sisi raia watuhumiwa wengi wanauwawa mara kwa mara wakiwa mikononi mwetu kwa kuchomwa moto na vipigo na utakuta mtu mwingine amesingiziwa tu, naomba tubadilike tuheshimu haki ya mtu kuishi hata kama anamakosa tusipende kuwasema polisi tu nasisi tujiangalie.
 
Wananchi wa Tarime akili zao zinawatosha wenyewe tu...
 
umethibitisha ni jambazi au mahakama zimewekwa za nini kama hawana nafasi kwa jamii.

ukikutana ndo uyajua hbr yao we si upo tu hapa jf hata mlio wa bunduki hujawahi kutana nao unaangalia kweny move tu,upo gizani kaka jambazi sio mtu wa kupeleka mahakaman
 
Hawajamaa washenI kweli kanini wanaonea raia wasio na hatia?
 
Hawajamaa washenI kweli kanini wanaonea raia wasio na hatia?


Halafu wao wanavamiwa na jambazi mwenye panga tena kituoni anawauwa mpaka na kuwanyang'ang'ya bunduki,halafu kwa raia ni full ubabe
 
Mkikaidi amri halari mtapigwa tu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom