PreGE2025 Polisi wapiga mabomu mkutano wa Lissu huko Mbinga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mh LISSU amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa mbinga Leo ,akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi ,wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD Sasa hivi,Mh LISSU akarudi jukwaani akasema yameanza,basi akasema sitokwenda kwa OCD nimechoka sanaaaaa,Sasa ameshuka umma unamfuata na mapolisi pia Yapo ,mitambo imekata hatujui huenda wakatumia nguvu kumkamata hapo Mbinga maana katoa hotuba nzito sanaaaaa.

Polisi sasa wamepiga mabomu na wanataka kumkamata Lissu.
Ccm haitaki wananchi waambiwe madhaifu yao.
 
Piga kabisa.Atie akili.
 
..
 
Attachments

  • downloadfile-15.jpg
    downloadfile-15.jpg
    135.1 KB · Views: 13
Sheria hazisemi hivyo. Huwezi kumkamata mtu bila kumwambia kosa lake. Hizo ndio sheria za nchi yetu.

Unless mmeamua kuongoza nchi Kama vibaka, Vinginevyo sheria zifuatwe.
Yeye Lisu aliiyekamatwa ndie anajua kakamatiwa nini ulitaka polisi wakueleze wewe kama nani sababu ya kumkamata?

Mtuhumiwa akikamatwa yeye ndie ajuaye anakamatiwa nini?
 
TAL sasa ameanza kuonja utamu wa kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa
Mwenzake alikaa jela miezi 8, sio kazi ndogo.
CCM ni serikali na serikali ni CCM!
 
Back
Top Bottom