PreGE2025 Polisi wapiga mabomu mkutano wa Lissu huko Mbinga

PreGE2025 Polisi wapiga mabomu mkutano wa Lissu huko Mbinga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kabla ya kukamatwa sheria inasema mpaka uende police? Hizo ndio hoja zenu
Yeye ndie ajua alichokamatiwa hata wewe mfano ukikamatwa polisi hawawajibiki kuwa lazima watangazie umma umekamatiwa nini? Mtajuana na polisi huko

Kukamatwa mtu sio tangazo la biashara cha msingi yeye mwenyewe binafsi ajue kakamatiwa nini apambane mwenyewe huko polisi
 
Wapo watakaopambana nae pamoja maana wapo na hawajawahi kumuacha toka mmempiga zile risasi, Mungu atasimama nae, hakuna jipya ni ukosefu tu wa akili mlioukosa na hamjawahi kuww nazo.
 
mitambo imekata hatujui huenda wakatumia nguvu
Pale Mbinga kuna fundi gereji Maarufu sana anaitwa Achimwenengule! Unaitwa na OCD unasema umechooka sana...! Ndiyo utii wa sheria huo?
 
Yeye ndie ajua alichokamatiwa hata wewe mfano ukikamatwa polisi hawawajibiki kuwa lazima watangazie umma umekamatiwa nini? Mtajuana na polisi huko

Kukamatwa mtu sio tangazo la biashara cha msingi yeye mwenyewe binafsi ajue kakamatiwa nini apambane mwenyewe huko polisi
Yeye ameuliza kosa la kukamatwa kwake. Hizo zako ni ngonjera nje ya sheria.
 
Bi haingaya hila yoyote ya Lissu hutaweza - utatangulia wewe umwache , soma alama za nyakati.
Ni ushauri tu una hiari kuupuuza
Inabidi haya yatokee ili Ukombozi uje. Msife moyo Watanzania
 
Mandela alikaa miaka ishirini
Mandela 27yrs
Sam Nujoma 10yrs
Robert Mugabe 5yrs
Kenyata 9yrs
Mseveni Uhamishoni 11yrs
Tshisekedi Uhamishoni 15yrs
Ramaphosa more than 10yrs
Wote hawa ni Marais.
Tena walifungwa enzi za ujima hata mawasiliano hakuna wala barabara.
 
Hii ndio miezi ya baadhi ya top manyota wana anza likizo za kustaafu, hivyo vijana wana tafuta vigezo vya kupandishwa vyeo. Maana ukiwa katili kwa wapinzani ni sifa kubwa sana hiyo.
 
Kukamatwa mtu sio kitu public yeye atakuwa anajua alichokamatiwa

Wewe subiri taarifa za Polisi
Hebu weka kichwa chako uelekeo wa mnara, wanao sikiliza hotuba pamoja na polisi nao wanajua kizuri na kibaya alichokisema, endapo ataongea bila watu kusikia sijui utajuaje kosa lake.
 
Back
Top Bottom