My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,283
Salary Scale for Deputy ministers and ministers...Mimi nomba niongezee kwenye huu uzi, Mawaziri na manaibu waziri wanalipwa shilingi ngapi ?
Hizo ni basic au take home? Vp Luteni usu jwtz?Salary Scale is as follows...
1.Police Tsh 435,000(Private)
2.JWTZ Tsh 635,000 (Private)
a. Commandos Tsh 1,237,000
b. Generals Tsh 4,333,000 Up to Tsh 5,426,000 and or more depending on the rank.
Ni take home mkuu, maluteni wapo kwenye mil 4 na zaidi kulingana na kitengo alichopo jeshiniHizo ni basic au take home? Vp Luteni usu jwtz?
Naulizia luteni usu, kijana wa degree anaeingia jeshini ambacho hicho ndicho cheo anachoanza nacho. Kuna maluteni wa aina nyingi. Mimi nataka Usu tu.Ni take home mkuu, maluteni wapo kwenye mil 4 na zaidi kulingana na kitengo alichopo jeshini
Hizo sio take home, ni basic, take home ni kama 355,000/=kwa constable na warder.Ni take home mkuu, maluteni wapo kwenye mil 4 na zaidi kulingana na kitengo alichopo jeshini
Huyo ni mil 3 mkuuNaulizia luteni usu, kijana wa degree anaeingia jeshini ambacho hicho ndicho cheo anachoanza nacho. Kuna maluteni wa aina nyingi. Mimi nataka Usu tu.
Luteni yaani nyota 2 wa jwtz analipwa milioni 4? Hapo umedanganya.Ni take home mkuu, maluteni wapo kwenye mil 4 na zaidi kulingana na kitengo alichopo jeshini
Duh...Kumbe hii scale niliyopewa ni fake, Aisee ni bora kukaa kijiweni kuliko kufanya Kazi futureless Kama hiyoHizo sio take home, ni basic, take home ni kama 355,000/=kwa constable na warder.
Rushwa na madili ndiyo yanayowaweka mjini mkuu!!usihesabu mshahara hesabu mapato!Duh...Kumbe hii scale niliyopewa ni fake, Aisee ni bora kukaa kijiweni kuliko kufanya Kazi futureless Kama hiyo
Ni wale wenye miaka mingi kazini siyo wale fresh hiresLuteni yaani nyota 2 wa jwtz analipwa milioni 4? Hapo umedanganya.
Imeitoa wapi hio mkuuSalary Scale is as follows...
1.Police Tsh 435,000(Private)
2.JWTZ Tsh 635,000 (Private)
a. Commandos Tsh 1,237,000
b. Generals Tsh 4,333,000 Up to Tsh 5,426,000 and or more depending on the rank.
Yes, wanakula mishahara miwili hao, na lazima watokane na Bunge .Samahani mkuu My Son drink water hivi kwa vile mawaziri ni lazima watokane ubunge je huwa wanalipwa mishahara miwili ya uwaziri na ya ubunge?
Lazima u comment kwani?Wewe unaitaka ya nini?
Nenda kituo cha polis au kambi yoyote kawaulize watakupa
Ni Siri yangu mkuu Kumbuka hizo ni governmental DocumentsImeitoa wapi hio mkuu
Comando misuli yote ile pamoja na kuvunja tofali Kwa kichwa lakini bado kazidiwa mshahara na kagereSalary Scale is as follows...
1.Police Tsh 435,000(Private)
2.JWTZ Tsh 635,000 (Private)
a. Commandos Tsh 1,237,000
b. Generals Tsh 4,333,000 Up to Tsh 5,426,000 and or more depending on the rank.
Hilo lijamaa liongoComando misuli yote ile pamoja na kuvunja tofali Kwa kichwa lakini bado kazidiwa mshahara na kagere
Salary Scale is as follows...
1.Police Tsh 435,000(Private)
2.JWTZ Tsh 635,000 (Private)
a. Commandos Tsh 1,237,000
b. Generals Tsh 4,333,000 Up to Tsh 5,426,000 and or more depending on the rank.