Polisi wanalipwa kiasi gani cha mshahara? Naomba mnijuze

Wakuu mbona mnafuatilia sana mishahara ya vyombo vya ulinzi na usalama shida nini? Muda mfupi nimesoma uzi unaoulizia mshahara wa tiss. Nawashauri si vyema kuchokonoa kujua mishahara ya vyombo hivi.Ukitaka kujua jiunge then utafahamu amount utakayopata.Ova!!
Eti siyo vizuri, kwani kuna shida gani watu wakijua? Uccm umekupumbaza hadi unakuwa mburula
 
hivi maprofessa wanalipwaga bei gani wakuu mbona wengine naona choka mbaya mpaka wanakimbilia kwenye siasa
 
Salary Scale for Deputy ministers and ministers...
1.Ministers Tsh 7,882,000 to Tsh 9,599,000 depending on the relevant ministry,and that's a mere basic payment Salary, fringes and other packages are excluded.
2.Deputy ministers Tsh 6,352,000 to Tsh 8,227,000 depending on the ministry. (nje ya marupurupu)
3.BOT Governor Tsh 17,965,000 nje ya marupurupu.
Aliyejitangaza eti analipwa mil 9 na hakuweka ushahidi wa Salary slip aliwadanganya wajinga.
US President analipwa $55,000 per month .

Nilikua nikuamini ila ulipogusia kwenye mshahara wa Rais wa marekani nikaona comments zako zote ni uongo!
 
Leo nimeona huruma sana pale policcm mmoja mwenye cheo Cha koplo almaarufu mbabu mbili alipolalamika mbele ya mkuu Fulani kwamba.
Yeye ana miaka 27 katika kazi ya upolisi na mke wake ambaye Ni mwalimu ana miaka 15 katika ualimu lkn mkewe ana mshahara Mara mbili ya ule wake wa kipolisi ilhali amemzidi mke wake elimu.
Sasa najiuliza kimoyomoyo, mshahara wa walimu wenye miaka 15 naujua, Ina maana huyu polisi kabla ya makato anakunja laki tano na ushee.
Kumbe mshahara wa polisi Ni sawa na raundi moja ya Hennessy moja, Johnny Walker mbili, nyama choma, kuku choma mbili na maji ya Kilimanjaro manne
Halafu ukiwakuta wanalinda msafara au wanadimamia zoezi la kupiga Kura utadhani........metina
 
Kiukweli mshahara wa mawaziri ndiyo haswa ilipaswa kuwa kima cha chini cha mtanzania ...wengine mtaguna lakini hicho ni kiwango cha standard angalau mtu aweze kujikimu mahitaji yake yote ya mwezi na kuweka akiba benki.. Nchi nyingi zilizoendelea duniani ndiyo viwango hivyo
Jua tz ni nchi ya chin dunian
 
Leo nimeona huruma sana pale policcm mmoja mwenye cheo Cha koplo almaarufu mbabu mbili alipolalamika mbele ya mkuu Fulani kwamba.
Yeye ana miaka 27 katika kazi ya upolisi na mke wake ambaye Ni mwalimu ana miaka 15 katika ualimu lkn mkewe ana mshahara Mara mbili ya ule wake wa kipolisi ilhali amemzidi mke wake elimu.
Sasa najiuliza kimoyomoyo, mshahara wa walimu wenye miaka 15 naujua, Ina maana huyu polisi kabla ya makato anakunja laki tano na ushee.
Kumbe mshahara wa polisi Ni sawa na raundi moja ya Hennessy moja, Johnny Walker mbili, nyama choma, kuku choma mbili na maji ya Kilimanjaro manne
Halafu ukiwakuta wanalinda msafara au wanadimamia zoezi la kupiga Kura utadhani........metina

hata mbavu umeshindwa kuzihesabu unawaza hennessy.

unachotakiwa ni kushukuru kwamba pamoja na mshahara mbuzi huo,bado wanahaha kuwe na amani,wakiamua kuwa walafi hutakumbuka hata hennessy ina utamu gani??
 
Leo nimeona huruma sana pale policcm mmoja mwenye cheo Cha koplo almaarufu mbabu mbili alipolalamika mbele ya mkuu Fulani kwamba.
Yeye ana miaka 27 katika kazi ya upolisi na mke wake ambaye Ni mwalimu ana miaka 15 katika ualimu lkn mkewe ana mshahara Mara mbili ya ule wake wa kipolisi ilhali amemzidi mke wake elimu.
Sasa najiuliza kimoyomoyo, mshahara wa walimu wenye miaka 15 naujua, Ina maana huyu polisi kabla ya makato anakunja laki tano na ushee.
Kumbe mshahara wa polisi Ni sawa na raundi moja ya Hennessy moja, Johnny Walker mbili, nyama choma, kuku choma mbili na maji ya Kilimanjaro manne
Halafu ukiwakuta wanalinda msafara au wanadimamia zoezi la kupiga Kura utadhani........metina
 
Attachments

  • VID-20210314-WA0183.mp4
    7.7 MB
Jamani wengine acheni ushamba
wengine mnaropoka ropoka tu

Afisa jenerali gani akalipwa milioni tatu au nne ?
Sasa ambao hamjui majenerali mishahara inacheza kuanzia milioni kumi kwenda juu na wanaweza kuwa hata wapo wanaokula milioni 40 kwa mwezi

Makanali wanacheza kwenye milioni 7 au 8 kwa mwezi na mishahara ime'vary' sana kutokana na ujuzi,aina ya fani ya mwanajeshi husika

Meja jenerali anae'command' Vikosi vyote vya anga hawezi kuwa sawa au kuzidiwa mshahara na meja jenerali anaesoma magazeti makao makuu ya jeshi
 
Back
Top Bottom