Polisi wanalipwa kiasi gani cha mshahara? Naomba mnijuze

Mimi nomba niongezee kwenye huu uzi, Mawaziri na manaibu waziri wanalipwa shilingi ngapi ?
Salary Scale for Deputy ministers and ministers...
1.Ministers Tsh 7,882,000 to Tsh 9,599,000 depending on the relevant ministry,and that's a mere basic payment Salary, fringes and other packages are excluded.
2.Deputy ministers Tsh 6,352,000 to Tsh 8,227,000 depending on the ministry. (nje ya marupurupu)
3.BOT Governor Tsh 17,965,000 nje ya marupurupu.
Aliyejitangaza eti analipwa mil 9 na hakuweka ushahidi wa Salary slip aliwadanganya wajinga.
US President analipwa $55,000 per month .
 
Samahani mkuu My Son drink water hivi kwa vile mawaziri ni lazima watokane ubunge je huwa wanalipwa mishahara miwili ya uwaziri na ya ubunge?
Yes, wanakula mishahara miwili hao, na lazima watokane na Bunge .
Mfumo wetu ni sawa na Uingereza, ila Marekani ndo tofauti, Marekani waziri siyo lazima atokane na Bunge, ila Uingereza hadi Waziri mkuu ni lazima awe mbunge .
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom