Polisi wanalipwa kiasi gani cha mshahara? Naomba mnijuze

Salary Scale for Deputy ministers and ministers...
1.Ministers Tsh 7,882,000 to Tsh 9,599,000 depending on the relevant ministry,and that's a mere basic payment Salary, fringes and other packages are excluded.
2.Deputy ministers Tsh 6,352,000 to Tsh 8,227,000 depending on the ministry. (nje ya marupurupu)
3.BOT Governor Tsh 17,965,000 nje ya marupurupu.
Aliyejitangaza eti analipwa mil 9 na hakuweka ushahidi wa Salary slip aliwadanganya wajinga.
US President analipwa $55,000 per month .
Kiukweli mshahara wa mawaziri ndiyo haswa ilipaswa kuwa kima cha chini cha mtanzania ...wengine mtaguna lakini hicho ni kiwango cha standard angalau mtu aweze kujikimu mahitaji yake yote ya mwezi na kuweka akiba benki.. Nchi nyingi zilizoendelea duniani ndiyo viwango hivyo
 
Wakuu mbona mnafuatilia sana mishahara ya vyombo vya ulinzi na usalama shida nini? Muda mfupi nimesoma uzi unaoulizia mshahara wa tiss. Nawashauri si vyema kuchokonoa kujua mishahara ya vyombo hivi.Ukitaka kujua jiunge then utafahamu amount utakayopata.Ova!!
 
Salary Scale for Deputy ministers and ministers...
1.Ministers Tsh 7,882,000 to Tsh 9,599,000 depending on the relevant ministry,and that's a mere basic payment Salary, fringes and other packages are excluded.
2.Deputy ministers Tsh 6,352,000 to Tsh 8,227,000 depending on the ministry. (nje ya marupurupu)
3.BOT Governor Tsh 17,965,000 nje ya marupurupu.
Aliyejitangaza eti analipwa mil 9 na hakuweka ushahidi wa Salary slip aliwadanganya wajinga.
US President analipwa $55,000 per month .
Inamaana kama mtu ni mbunge na pia ni waziri atakua anakula mishahara miwili hapo
 
Salary Scale is as follows...
1.Police Tsh 435,000(Private)
2.JWTZ Tsh 635,000 (Private)
a. Commandos Tsh 1,237,000
b. Generals Tsh 4,333,000 Up to Tsh 5,426,000 and or more depending on the rank.
Makomandoo kupasua kote matofali kwa mikono wanalipwa 1.2m tu? Duh
 
Acheni kutiana uongo aiseee hakuna anaejua mishahara yao zote mbwembwe tu humu
 
Kiukweli mshahara wa mawaziri ndiyo haswa ilipaswa kuwa kima cha chini cha mtanzania ...wengine mtaguna lakini hicho ni kiwango cha standard angalau mtu aweze kujikimu mahitaji yake yote ya mwezi na kuweka akiba benki.. Nchi nyingi zilizoendelea duniani ndiyo viwango hivyo
tanzania si nchi iliyoendelea!! Unataka tulipwe kama watu walioendelea?
 
Back
Top Bottom