Freema, hakuna binadamu anaetaka kunyea debe polisi eti anatunzwa against hasira ya "mashabiki wa jamaa" wa marehemu. Kwa hiyo akishinda kesi hasira za hawa "wapenzi na marafiki" zitazidi, then what you gonna do, detain her forever? That is the most ridiculous thing in the history of mankind. Ask her if she wants to stay in custody, don't decide for her.assume Katiba mpya inarekebisha kifungu hicho cha sheria; Mtuhumiwa kama Lulu akaachiwa iwe kwa dhamana au kwa kutokuwa na hatia, huoni kama maisha ya mtuhumiwa yanaweza kuwa hatarini kutokana na hasira na uchungu walio nao mashabiki, wapenzi, wakereketwa, marafiki, jamaa na ndugu wa marehemu?
Hatujui aliyoyabeba Lulu, vipi akaishia kujiua atapoachiwa huru wakti huu kwa sababu yeyote ile iwayo?
Polisi wana haki ya kulinda maisha ya mtuhumu (kama yungali hai) na mtuhumiwa (kama yungali hai).