Polisi wamshughulikie Mchange katika mambo haya 10...

Polisi wamshughulikie Mchange katika mambo haya 10...

Mods naomba msiunganishe huu uzi na mingine.

Wadau, nimesikiliza mdahalo kati ya Mnyika na Mchange jana asubuhi na kuamini kuwa kama upo ukweli wowote japo kidogo katika tuhuma ambazo Mchange ameelekeza kwa Uongozi wa CHADEMA? Kwa maoni yangu, inaniwia ngumu sana kuamini kuwa yote aliyosema Mchange ni uongo mtupu. Nafikiri kuna ukweli kiasi fulani na ni busara ukawekwa wazi ili wasaliti wasiendelee kukivuruga chama chetu pendwa.

Tujadili huku tukijiuliza je yawezekana kuna ukweli wowote ule hata kama ni kidogo?
 
Chadema aibu yenu mwaka huu mtapata aibu mpaka basi bora zitto kajiweka kando make amekoswa mara nyingi sana kuanzia tukio la morogoro na ile alilokoswa bar kweli chadema magaidi.
 
Nalipongeza jeshi la Polisi Dar kwa kumkamata na kumuweka chini ya ulinzi kada wa chama cha ACT Bw.Habib Mchange, ili kuisaidia jeshi hilo juu ya tuhuma alizozitoa kwa CHADEMA.

Pamoja na mambo mengine, Mchange aulizwe maswali yafuatayo:

1.Kwa kuwa amekiri kutumiwa na CHADEMA kutekeleza mauaji mbalimbali, aseme kwa sasa huko alipo wamemtumia kufanya mauaji ya nani?

2.Kama CHADEMA walimtumia, kwanini tusiamini kuwa hata sasa anatumika kwa kuwa ameshakuwa mtu wa "kutumikatumika"?

3.Kama anakubali CHADEMA walimtumia kupanga mipango ya mauaji, mbona anakataa kuhusika na njama za kumuua Dr.Slaa zilizotolewa na madiwani wa Shinyanga?

4.Aeleze kwa kina nani alimuua Mwangosi na atoe na ushahidi wa kutosha.

5.Aeleze ni kivipi CHADEMA walivaa sare za Polisi na kutekeleza mauaji ya Mwangosi.

6.Aeleze ni Afisa gani wa Polisi aliyewapa CHADEMA hizo sare na silaha za kumuua Mwangosi, na kwanini Afisa huyo hakuchukuliwa hatua.

7.Na kama Polisi wanafanya dili ya kuwaazima CHADEMA sare zao pamoja na Silaha ili kufanya uhalifu, kwanini hakuripoti muda wote hadi alipokuja kusema leo? Miaka mitatu aliyokaa kimya haoni alichangia watanzania wengi wasio na hatia kuuawa na CHADEMA kwa kupewa sare na Polisi?

8.Kwanini hakumshauri Rais Kikwete amfukuze kazi RPC Kamuhanda? maana kwa mujibu wa maelezo yake ndiye aliyesimamia mauaji ya Mwangosi kwa kushirikiana na CHADEMA.

9.Kwa kuwa amekiri yeye ni mtu wa dili za "mauaji" aeleze alishiriki nafasi gani kutekeleza mauaji ya Mwangosi? Alisambaza silaha kwa CHADEMA? Aliwabebea CHADEMA sare za Polisi? Au mchango wake ulikua upi?

10.Mwisho, ASIPEWE DHAMANA kwa kuwa anatuhumiwa kwa kupanga mauaji ( Conspiracy to Commit Murder).

(Pichani ni Habib Mchange enzi za ujana wake).

Ngoja daktari athibitishe kuwa Mchange hana akili timamu
 
attachment.php

kijana kama huyu ukimuangalua ni dhahili hakuwa na dira ya maisha na alikuwa in choka mbaya kabla hajajanjaruka....kweli mjini panawatoa watu ushamba...maana ukiangalia kila alichovaa ni dhahili ujanja kaupata baada ya kufika mjini.

Ushauri Vijana kama huyu Mchange wangeachiwa Vijana wa Mwamnyange wamhoji angalau dakika 15 wakiwa nae faragha basi wakimuachia utamkuta tayari karudi kijijini bila kupenda na bila kufahamu kafikaje kijijini nakuanza mradi wa kulima nyanya.
Maana kijana kama huyu akilelewa kijinga kama hivi na kuachia kuropoka vitu ambavyo ukivifuatilia kwa undani ni kama kuchezea akili za watz na jeshi zima la nchi ambalo ndo lenye dhamana ya kulinda amani ya nchi...basi ujue tabia yake itakuwa zaidi na baadae utasikia kama siyo kuunda kundi kama la Alshababu hapa Tz basi atajiunga na Alshababu wenyewe na kutekeleza mauaji hapa nchini.

Vyombo vikuu vya usalama muwe makini sana na Vijana kama hawa ambao wanaachiwa wanalopoka vitu hatarishi kisa kupata pesa .
 
Mods naomba msiunganishe huu uzi na mingine.

Wadau, nimesikiliza mdahalo kati ya Mnyika na Mchange jana asubuhi na kuamini kuwa kama upo ukweli wowote japo kidogo katika tuhuma ambazo Mchange ameelekeza kwa Uongozi wa CHADEMA? Kwa maoni yangu, inaniwia ngumu sana kuamini kuwa yote aliyosema Mchange ni uongo mtupu. Nafikiri kuna ukweli kiasi fulani na ni busara ukawekwa wazi ili wasaliti wasiendelee kukivuruga chama chetu pendwa.

Tujadili huku tukijiuliza je yawezekana kuna ukweli wowote ule hata kama ni kidogo?

toa japo mfano mmoja uliyo na chembe ya ukweli isiyo na shaka tukuelewe
 
Nalipongeza jeshi la Polisi Dar kwa kumkamata na kumuweka chini ya ulinzi kada wa chama cha ACT Bw.Habib Mchange, ili kuisaidia jeshi hilo juu ya tuhuma alizozitoa kwa CHADEMA.

Pamoja na mambo mengine, Mchange aulizwe maswali yafuatayo:

1.Kwa kuwa amekiri kutumiwa na CHADEMA kutekeleza mauaji mbalimbali, aseme kwa sasa huko alipo wamemtumia kufanya mauaji ya nani?

2.Kama CHADEMA walimtumia, kwanini tusiamini kuwa hata sasa anatumika kwa kuwa ameshakuwa mtu wa "kutumikatumika"?

3.Kama anakubali CHADEMA walimtumia kupanga mipango ya mauaji, mbona anakataa kuhusika na njama za kumuua Dr.Slaa zilizotolewa na madiwani wa Shinyanga?

4.Aeleze kwa kina nani alimuua Mwangosi na atoe na ushahidi wa kutosha.

5.Aeleze ni kivipi CHADEMA walivaa sare za Polisi na kutekeleza mauaji ya Mwangosi.

6.Aeleze ni Afisa gani wa Polisi aliyewapa CHADEMA hizo sare na silaha za kumuua Mwangosi, na kwanini Afisa huyo hakuchukuliwa hatua.

7.Na kama Polisi wanafanya dili ya kuwaazima CHADEMA sare zao pamoja na Silaha ili kufanya uhalifu, kwanini hakuripoti muda wote hadi alipokuja kusema leo? Miaka mitatu aliyokaa kimya haoni alichangia watanzania wengi wasio na hatia kuuawa na CHADEMA kwa kupewa sare na Polisi?

8.Kwanini hakumshauri Rais Kikwete amfukuze kazi RPC Kamuhanda? maana kwa mujibu wa maelezo yake ndiye aliyesimamia mauaji ya Mwangosi kwa kushirikiana na CHADEMA.

9.Kwa kuwa amekiri yeye ni mtu wa dili za "mauaji" aeleze alishiriki nafasi gani kutekeleza mauaji ya Mwangosi? Alisambaza silaha kwa CHADEMA? Aliwabebea CHADEMA sare za Polisi? Au mchango wake ulikua upi?

10.Mwisho, ASIPEWE DHAMANA kwa kuwa anatuhumiwa kwa kupanga mauaji ( Conspiracy to Commit Murder).

(Pichani ni Habib Mchange enzi za ujana wake).

All vilaza mtajuana wenyewe na njaa zenu ccm wapo juu
 
Bado Mnyika,Lissu,Mbowe.
Na hayo Maswali wataulizwa wao.
Mchange kaenda kutoa melezo tuu!

Kwa hiyo bavicha mna imani na jeshi letu la polis I? Litapochukua hatua ambazo hazitokufurahisha usisahau kulipongeza jeshi letu La polisi.

Nashukuru kuona bavicha mnaanza kuliamini jeshi letu la polisi na usisahau kumshauri mbowe kupeleka hule mkanda wa mauji ya Soweto.

Nakutakia kila LA kheri kwenye kugombea uenyekiti wa bavicha.

Si kila aliyemo humu if ni bavicha au uvccm au mpinzani yeyote,wengine tumo humu kwa maslahi ya taifa,na pia kwa ajili ya kurekebisha makosa ya baadhi ya watu kama wewe,
Binafsi si liamnini jeshi la polisi.mambo ya kisiasa huyafanyia kazi kwa maelekezo Fulani kutoka kwa wakubwa au hufanya kazi law kuangalua upepo, unapoona wametenda haki kwa upinzani ujue upepo Wa kisiasa uliwalazimisha wafanye hivyo vinginevyo jeshi la polisi haliwezi kuwatendea haki wapinzani hata siku Mona,kwa mfano,huyo mchange kashutumiwa pamoja na akina kinana,nape na wengine,igp akasema chadema wanafanya siasa,mchange katoa yake tena ya zamaaaaani wanakurupuka eti wanafuatilia!sasa weledi Wa polisi upo wapi?
 
Wakamatwe basi watuhumiwa wa mauaji na utekaji huo ambao Habibu amewataja. Watu hao ni pamoja na
  1. Freeman Mbowe
  2. Wilbroad Slaa
  3. John Mnyika
  4. Tundu Lissu
  5. Henry Kilewo
  6. Godbless Lema nk

Msiwe kama wajinga,wakamatwe kwanza akina nape,kinana,mwigulu,
 
Ndugu Hamad Lyimo anaendelea kusema:

"Nadhani afanyiwe screening ya kiafya na historia yake utotoni. Kama wanachosema madaktari ni sawa basi asamehewe na kufanyiwa councilling.

Udumavu ni tatizo la kitaifa kama utaangalia taarifa ya WFP 2001. Na kwa asilimia iliyopo Tanzania ni vigumu kuwazuia vijana walioathiriwa na utapiamlo zamani, kutokezea katika sekta nyeti kama siasa, afya, elimu, kilimo na maji.

Udumavu huu humfanya mgonjwa kupoteza uwezo wa kuwaza akiona fursa ya kula. Angalieni hili hata kwenye party za kawaida. Kuna watu wanatetemeka wakiona bufee."
Mwisho wa kunukuu.
 
Mchange ataokolewa na vipimo vya hospitali itakapodhihirika kuwa ana mtindio wa ubongo maana nina hakika aliye mzima hawezi kutoa ujinga ule. Na hao wanaowapokea wajinga wa namna ya Mchange, sijui kama wao ni wajinga kidogo au wajinga zaidi. Huyu mahali panampomfaa siyo kituo cha polisi bali Milembe hospital.
 
Ndugu Hamad Lyimo anaendelea kusema:

"Nadhani afanyiwe screening ya kiafya na historia yake utotoni. Kama wanachosema madaktari ni sawa basi asamehewe na kufanyiwa councilling.

Udumavu ni tatizo la kitaifa kama utaangalia taarifa ya WFP 2001. Na kwa asilimia iliyopo Tanzania ni vigumu kuwazuia vijana walioathiriwa na utapiamlo zamani, kutokezea katika sekta nyeti kama siasa, afya, elimu, kilimo na maji.

Udumavu huu humfanya mgonjwa kupoteza uwezo wa kuwaza akiona fursa ya kula. Angalieni hili hata kwenye party za kawaida. Kuna watu wanatetemeka wakiona bufee."
Mwisho wa kunukuu.
 
Kwa sisi wataalam wa kusoma picha, hapa unaelewa kabisa kwamba ni matatizo ya kifamilia yaliyompata kijana huyu enzi za utoto wake ndiyo yamemwathiri kisaikologia hadi leo, Yote haya yaliletanizwa na mapungufu ya malezi bora toka kwa wazazi wake hadi kupelekea mtoto wao kupata utapiamlo, kwashakoo, pepo punda pamoja na kifaduro!!

attachment.php
 
kama anao ushahidi kwa nini hakuwapelekea polisi? ukiangalia picha yake ya ujana anaonekana kama chokoraa kabisa! kijana mchange anatapa tapa, no where to hide?

Wapo wengi tu wenye ushahidi ambao badala ya kuupeleka polisi au kwenye vyombo vingine vya dola huugeuza na kuwa filamu za kuangalia na wake zao majumbani mwao.
 
Ukitoa maelezo ambayo huwezi kuyathibitisha kwa kina basi kuna kila sababu ya kupandishwa kizimbani kwanza kwa uzushi na pili kupoteza muda na rasilimali chungu nzima za polisiCCM. Wakati watakaoupoteza kushughulikia uzushi wa huyu msaliti polisiCCM wangeweza kuutumia katika mambo mengine muhimu kwa mfano uchunguzi wa mabilioni ya Uswiss.

“Siyo tu kutoa ushahidi, nishautoa na niko tayari kuwaongezea taarifa na ushahidi mwingine nilionao wa kile nilichokieleza.

“Taarifa yangu yenyewe ni ushahidi tosha, lakini wakati wowote niko tayari kuwaongezea ushahidi na taarifa wanazozihitaji juu mauaji, niseme wazi Mbowe (Freeman) ni muuaji mkubwa,” alisema Mchange.
 
Back
Top Bottom