Nalipongeza jeshi la Polisi Dar kwa kumkamata na kumuweka chini ya ulinzi kada wa chama cha ACT Bw.Habib Mchange, ili kuisaidia jeshi hilo juu ya tuhuma alizozitoa kwa CHADEMA.
Pamoja na mambo mengine, Mchange aulizwe maswali yafuatayo:
(Pichani ni Habib Mchange enzi za ujana wake).
Mkuu unahoja nzito!
Kwa ajili ya kupanua wigo wa mjadala na utathimini wa huyu masikini wa mawazo/akili unaweza kutusaidia hiyo picha Mchange alikuwa ana umri gani?