Polisi wamshughulikie Mchange katika mambo haya 10...

Polisi wamshughulikie Mchange katika mambo haya 10...

Huyu mchange lazima atapike kila alicho kula kwa act na c.c.m!
Hata walie kilio cha mbwa c.c.m i.c.u iko palepalena mochwari tunawapeleka 2015.
 
Nimeelewa ni kwa nini jamaa anaamua kujifungia mabomu afe na wengi. Kumbe chama kimem soap soap, na baada ya ccm kutokumwamini baada ya kushindwa kukamilisha dili la mauaji walilokuwa wamempa, amekosa tumaini sasa. Na Kwa kuwa anajua ACT ni ccm, hategemei kuaminika sana nako hasa baada ya cDM kumshtukia, sasa haoni sababu ya kuishi.

Sasa mchange uende pema peponi peke yako. Safari ya wengine haijafika. Bye Mchange.
 
Sijui imetokeaje siasa za tanz kuingiliwa na watu kama akina Mchange. Kurudisha siasa ktk ualisia wake kazi tunayo.
 
Nimeelewa ni kwa nini jamaa anaamua kujifungia mabomu afe na wengi. Kumbe chama kimem soap soap, na baada ya ccm kutokumwamini baada ya kushindwa kukamilisha dili la mauaji walilokuwa wamempa, amekosa tumaini sasa. Na Kwa kuwa anajua ACT ni ccm, hategemei kuaminika sana nako hasa baada ya cDM kumshtukia, sasa haoni sababu ya kuishi.

Sasa mchange uende pema peponi peke yako. Safari ya wengine haijafika. Bye Mchange.

hahahah. ukikiuka kiapo cha ujasusi unakufa haraka sana.
 
Ingekuwa wakati wa Nyerere angejua vizuri nini maana ya chombo cha dola. Siku hizi polisi imekufa toothless mtu anaropoka tu na kufanya uchochezi anaachiwa. Too much double standards. Siasa iwe mbali na usalama. Polisi fanyeniKazi.
fisi; sijui niazie wapi ila Mchange hatafika hata central. Ataachiliwa huko huko Mabibo alikowekwa chini ya ulinzi wa constable. Hii ni janja tu ya Mapoliccm, kutaka kuchafua ile ya Matefu na tishia ya kueleza mamilioni walopewa Chadema na UKAWA kuchafua nchi. Tanzania kila mwana ccm ni msemaji wa chama kinyume na upinzani tu. ACT ni tawi tu la ccm limebadili jina la mtaa. Kutoka Lumumba sasa wamefungua tawi mtaa wa ACT. Tumesha wagundua kuwa ni kutaka kutuchafua akili tuu. Hakuna mtu mwenye akili timamu asiyetamani kupotea duniani awezaye kujitapa ati aliua watu kwa msaada wa police. Kitengo cha propaganda cha ccm kimeishiwa maarifa. Wabuni uongozi mpya, labda wamweke ZZK.
 
Kweli tuweke pembeni ushabiki Wa kisiasa,huyu kijana ni hatari kwa ustawi Wa tanzania,ni uchochezi Wa hali ya juu.Vijana jamani tusikubali kutumika vibaya, mwisho Wake ni mbaya sana.
 
attachment.php

Ha ha ha haaa.....Long live JF
 
Bw.Hamad Lyimo kule fb amejibu hivi:

"Nimetuma hii picha kwa rafiki yangu mtaalam wa afya akaniambia inaonyesha mwenye image hii alipata utapiamlo akiwa chini ya miaka mitano. Utapiamlo katika kipindi hicho huathiri sana ubongo na uwezo wa kufikiri."
 
Bw.Hamad Lyimo kule fb amesema hivi:

"Nimetuma hii picha kwa rafiki yangu mtaalam wa afya akaniambia inaonyesha mwenye image hii alipata utapiamlo akiwa chini ya miaka mitano. Utapiamlo katika kipindi hicho huathiri sana ubongo na uwezo wa kufikiri." Mwisho wa kunukuu.
 
ubarikiwe kwa ufafanuzi mzuri. hii kitaalamu ni kweli mkuu. hapa chini nanukuu

"If treatment was started in the later stages of malnutrition, the person may be left with physical and intellectual disabilities"
 
Kumbe chadema ni zaidi ya vile tunavyokijua.... Aliyoyazungumza mchage yanatufanya sisi watoto wa masikini tuwe na hofu kufunua midomo hasa katika maswala yanayohusu chama hiki.... Kumbe they are capable of doing anything (kama aliyozungumza ni kweli) ... Nawausia masikini wenzangu tujikalie kimyaa tuangalie tu mambo yanavyokwenda .. Na tuviachie vyombo husika vitusaidie kuujua ukweli ........kwa kifupi ukombozi bado uko mbali sana
 
Kalale wewe huna jipya, tumia muda wako kuandika vitu vya maana itakusaidia. Eti mtoto wa maskini,na utabaki hivyo ukiwa na mawazo finyu hapa Duniani. Think big act locally.
 
Back
Top Bottom