SHAHIDI wakati alishiriki?Kweli kabisa Mkuu. Mchange atakuwa shahidi tu na siku zote shahidi hauawi
SHAHIDI wakati alishiriki?Kweli kabisa Mkuu. Mchange atakuwa shahidi tu na siku zote shahidi hauawi
kijana kama huyu ukimuangalua ni dhahili hakuwa na dira ya maisha na alikuwa in choka mbaya kabla hajajanjaruka....kweli mjini panawatoa watu ushamba...maana ukiangalia kila alichovaa ni dhahili ujanja kaupata baada ya kufika mjini.
Ushauri Vijana kama huyu Mchange wangeachiwa Vijana wa Mwamnyange wamhoji angalau dakika 15 wakiwa nae faragha basi wakimuachia utamkuta tayari karudi kijijini bila kupenda na bila kufahamu kafikaje kijijini nakuanza mradi wa kulima nyanya.
Maana kijana kama huyu akilelewa kijinga kama hivi na kuachia kuropoka vitu ambavyo ukivifuatilia kwa undani ni kama kuchezea akili za watz na jeshi zima la nchi ambalo ndo lenye dhamana ya kulinda amani ya nchi...basi ujue tabia yake itakuwa zaidi na baadae utasikia kama siyo kuunda kundi kama la Alshababu hapa Tz basi atajiunga na Alshababu wenyewe na kutekeleza mauaji hapa nchini.
Vyombo vikuu vya usalama muwe makini sana na Vijana kama hawa ambao wanaachiwa wanalopoka vitu hatarishi kisa kupata pesa .
Bado Mnyika,Lissu,Mbowe.
Na hayo Maswali wataulizwa wao.
Mchange kaenda kutoa melezo tuu!
Kwa hiyo bavicha mna imani na jeshi letu la polis I? Litapochukua hatua ambazo hazitokufurahisha usisahau kulipongeza jeshi letu La polisi.
Nashukuru kuona bavicha mnaanza kuliamini jeshi letu la polisi na usisahau kumshauri mbowe kupeleka hule mkanda wa mauji ya Soweto.
Nakutakia kila LA kheri kwenye kugombea uenyekiti wa bavicha.
mimi siamini labda wale wenye mahaba na chama kile cha kijani na kile chama kilichoanzishwa juz kati...aka chama cha mwandigaFrankly speaking....hivi kuna mtu anayeamini hayo anayoyasema huyu jamaa?