Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
lini ? maana siku zinaenda na maovu yao yanazidi
huu ndo mwaka wa mwisho .TIME WILL TELL.
lini ? maana siku zinaenda na maovu yao yanazidi
Zimefika mkuu, nasikitika mabadiliko hayaji kama zali... Ni lazima tuyalete!mpe pole sana huu uonevu una mwisho wake.
Zimefika mkuu, nasikitika mabadiliko hayaji kama zali... Ni lazima tuyalete!
Kwa sasa hatujafikiria hivyo, lakini kama hali ikiendelea hivi jamaa watakuwa hawakai kwa amani maana hakuna atakayewapa ushirikiano, kuwapangisha nyumba, kuwapa mke wala chochote.Swala ni kwamba hanamkumbuka huyo police na kama anamkumbuka mumsubilieni mtaani au mumfate mkachome nyumba yake full stop tumechoka sasa na hawa ccm
swissme
Mwanangu akishaweka vitu vyake kichwani ana majibu fulani ya shombo, lakini sidhani kama alistahili kipigo kikubwa na kuporwa ukizingatia tayari walikuwa wameshamkamata.Dawa ni kutojibizana na polisi! Kwanini wapishane kiswahili? Kwani mwana hajui vizuri kiswahili?
Polisi haswa wa kituo cha Oysterbay ni wababe!
Niliwahi kushuhudia vijana wawili wakipigwa na mipini ya majembe kama wanauwa nyoka na polisi mmoja janamke kubwa kama nyumba!
Aisee nilisikitika mno mpaka wanalia Kama watoto kisa eti wamehisiwa kutoroka pale counter!
Sijui ndiyo sheria zinawaruhusu kufanya hivyo?
Boi hawezi kunitafutia visingizio mimi maana sio mtu wa hivyo, angefumaniwa au angekutwa na scenario ingine ya aibu zaidi angeniambia pasi na shaka, ni mtu wangu wa nguvu!je unaamini vipi ni polisi wamemkamata?
je kama kafumaniwa na mke wa mtu?
je kama ni kibaka kakamatwa huko akapigwa mpaka akakimbia?
je kama kakutwa ananunua changudoa?
isije ikawa anatafuta kisingizio
Wamemkuta peke ake, sioni tatizo hapo. Na pengine alikuwa na vifaa vya michezo kwenye begi lake.Raia msela anayekaa bila sababu usiku kwenye kituo cha daladala nae anatakiwa kulindwa?.. hawa masela ndio chanzo cha uhalifu! . Hongera polisi na endeleeni na moto huo huo mpaka masela wote wanaozagaa zagaa hovyo usiku waishe
Wamemkuta peke ake, sioni tatizo hapo. Na pengine alikuwa na vifaa vya michezo kwenye begi lake.
Haya twende unavyotaka wewe, tufanye wamemshuku muhalifu je walipomsachi walimkuta na silaha yoyote au wamemkuta na kitu chochote kinachoweza kumdhuru mtu mwingine? jibu hapana.
Kwahiyo walichotakiwa polisi kufanya ni kumsachi na kwa vile wamemkuta yuko safi basi wamuulize anapoelekea na ikiwezekana wamsaidie usafiri mpaka nyumbani kwake, mafuta ya serikali na ukumbuke kodi ya mlalahoi ndio inayonunua mafuta hayo, sasa kuna tatizo gani kumsaidia raia wake!
Hao ndio polisi wetu badala ya kumlinda raia wake badala yake wanamwonea au kumdhalilisha
Labda tunashindwa kuelewana padogo.Huwajui masela wa kinondoni Mkwajuni wewe!...
Lugha ya mvuta bangi ni ipi mkuu. Sisi wanazuoni wa lugha tumefunzwa kuwa maneno yote katika lugha ni matakatifu na hakuna ubaya kuyatumia...Lugha na uandishi wako unaonyesha (kama ni kweli) huyo mwanao ameambukizwa tabia zako za kihuni na lugha mbovu na huenda aliwakebehi polisi ndio maana wakafanya hivyo (japo sio sheria). BTW wewe una mtoto wa umri mkubwa namna hiyo halafu unatumia lugha za wavuta bangi?