Polisi wamempora/kumpiga mwanangu

Polisi wamempora/kumpiga mwanangu

HARUFU

Wewe ndio unashindwa kuelewa panogo sana!!..huyo sio mwanawe wa kumzaa! Ni msela wake na ushaambiwa akishavuta huwa anaweza kufanya chochote!..sasa huelewi nini hapa?

Jadili tukio usitoke nje ya mada
Sawa ....
 
Na ni kweli kwa polisi ukijieleza vizuri hawana shida,hata km wana njaa kiasi gani,au labda huyo mwanao alikuwa na michuzi kibao?Si unakumbuka sakata la kina Zombe?
 
Hawa policcm ni njaa tu..
Kifuatacho jino kw jino km anamkumbuk ni bora kumvizia kitaa.tu mnampa nakoz afu anacndikizw na cndano za nyuma aende nai akapigwe bomba kbs...
Haw jamaa cjui wanarogwa kabla yakuvaa ile migwanda yaan cwaelewag kbsaaa
 
Na ni kweli kwa polisi ukijieleza vizuri hawana shida,hata km wana njaa kiasi gani,au labda huyo mwanao alikuwa na michuzi kibao?Si unakumbuka sakata la kina Zombe?

Ha ha ha!

Una maana tuwape kidogo kitu?
 
Nakushauri nenda kwa RPC wa kinondoni utapata utaratibu mzima
 
Back
Top Bottom