Kama polisi hawana utu mie napendekeza tupandikize mbegu ya chuki miongoni mwa jamii tuwatenge , tuwafukuze kwenye nyumba zetu walizopanga , maana wameuwa arusha na jana wameuwa Mbalali
Umesha pandikizwa chuki na (chadema) chama chakocha kikatoliki
Umesha pandikizwa chuki na (chadema) chama chakocha kikatoliki
Umesha pandikizwa chuki na (chadema) chama chakocha kikatoliki
na TBC1 imekulahisishia kazi sasa hivi utawajua wote walio waliouwa ndugu zetu...hawa wauwawe tu, kwani wao si ndugu zetu mbona wamtuuwa.
jana pita pita zangu nimekutana na Polisi ananiomba lifti anawahi kazini, aah nilimiacha nikapakiwa wengine pale stendi yeye nikaliachilia mbali shenzi type
unaweza kuni tajia wakubwa angalau watano wanao eneza chuki za kidini walio kuwepo siku ya tarehe 5-1-2011....wewe ni amani ipi unayo hofu kuipoteza?Hapa Arusha mabomu na risasi zilipotikisa jiji wakubwa hao wanaochochea na kutumia udini hawakuumizwa wala hawajafiwa na jamaa zao. Think about this and above all, seek and maintain PEACE before you lose it!
Na majambazi wakituibia tuende kwa balozi?
Kama polisi hawana utu mie napendekeza tupandikize mbegu ya chuki miongoni mwa jamii tuwatenge , tuwafukuze kwenye nyumba zetu walizopanga , maana wameuwa arusha na jana wameuwa Mbalali
Watu waliofilisika sera kichwani huwa wanachoka kuishi kwa amani. Watu wanaopandikiza mbegu ya udini, sijui uislamu, ukatoliki na kadha wa kadha ni watu waliochoka na amani tuliyonayo hapa nchini. Ninawakumbusha kwamba ghasia zitakapoanza kama zilivyo katika nchi zingine kama Somalia na kwingineko ni wao, baba zao, mama zao, shangazi zao, kaka na dada zao ndio watakaokuwa wahanga. Si waislamu ama wakristo ama wabuda watakaoathirika. Zaidi ya yote ninyi mnaoendekeza udini mkumbuke kwamba wanaowachochea mgombane hawataathiriwa na vurugu zitakazotokea. Mkichinjana wao watakuwa salama salimini. Hivi mnapochochea roho ya udini mnasahau kwamba Tanzania hii haina dini rasmi? Nionavyo mimi yapo masuala muhimu ya kujadili kuliko udini. Umaskini ni tatizo kubwa mno kwa hiyo kwa watu wenye busara wangetumia muda kubuni njia za kupambana nao ili hatimaye tuutokomeze ama walau tuupunguze. Iilivyo bila kigugumizi watu wanaojadili mambo ya udini hapa ni watu wenye uelewa finyu wa dini na wala hawaelewi maana ya dini hata kidogo. Hawa ni mashabiki wa wanasiasa ambao hawajali kufanya, kusema ama kumtumia yeyote kutimiza malengo yao. Hapa Arusha mabomu na risasi zilipotikisa jiji wakubwa hao wanaochochea na kutumia udini hawakuumizwa wala hawajafiwa na jamaa zao. Think about this and above all, seek and maintain PEACE before you lose it!