Polisi waliopanga nyumba zetu tuwafukuze na tuwatenge hata wakifiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi waliopanga nyumba zetu tuwafukuze na tuwatenge hata wakifiwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TUNTEMEKE, Jan 14, 2011.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kama polisi hawana utu mie napendekeza tupandikize mbegu ya chuki miongoni mwa jamii tuwatenge , tuwafukuze kwenye nyumba zetu walizopanga , maana wameuwa arusha na jana wameuwa Mbalali
   
 2. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Polisi ni wale std seven au form four failure sasa unategemea ni akili ya kunguru au kuku?

  They are real MANIAC , BANGI NA UZINZI most of them wamenasa na kale kamtego.

  waeda kwa upepo
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Is this tz or Kandahar
   
 4. B

  Bull JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Umesha pandikizwa chuki na (chadema) chama chakocha kikatoliki
   
 5. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Bado tuna safari ndefu kuliona jua!
   
 6. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 850
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 60
  Mr Bull pata ufahamu wa hawa CCM maana wao ndiyo waliopandikiza udini kama unakumbuka wakati wa Mrema walipandikiza kuwa CUF ni ya waislam walivyoona Ibrahim Lipumba anapanda kwa kazi wao wakawa upande wa katoliki leo hii wanaona CHADEMA wamepanda wakaona wawaite ni wakatoliki wao wakarudi kwa waislamu
  Kama unafikiria utajua tu ukweli na waislam kwa sasa wameshikwa kiukwelikweli na CCM
   
 7. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Ni rahisi kusema hivyo kama huna ndugu police,watoto e.tc.
   
 8. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  udini tena pamu hapo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,itazuka ya waislamu na wakristo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,majambiaa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
   
 9. O

  Oldarasu Member

  #9
  Jan 16, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Watu waliofilisika sera kichwani huwa wanachoka kuishi kwa amani. Watu wanaopandikiza mbegu ya udini, sijui uislamu, ukatoliki na kadha wa kadha ni watu waliochoka na amani tuliyonayo hapa nchini. Ninawakumbusha kwamba ghasia zitakapoanza kama zilivyo katika nchi zingine kama Somalia na kwingineko ni wao, baba zao, mama zao, shangazi zao, kaka na dada zao ndio watakaokuwa wahanga. Si waislamu ama wakristo ama wabuda watakaoathirika. Zaidi ya yote ninyi mnaoendekeza udini mkumbuke kwamba wanaowachochea mgombane hawataathiriwa na vurugu zitakazotokea. Mkichinjana wao watakuwa salama salimini. Hivi mnapochochea roho ya udini mnasahau kwamba Tanzania hii haina dini rasmi? Nionavyo mimi yapo masuala muhimu ya kujadili kuliko udini. Umaskini ni tatizo kubwa mno kwa hiyo kwa watu wenye busara wangetumia muda kubuni njia za kupambana nao ili hatimaye tuutokomeze ama walau tuupunguze. Iilivyo bila kigugumizi watu wanaojadili mambo ya udini hapa ni watu wenye uelewa finyu wa dini na wala hawaelewi maana ya dini hata kidogo. Hawa ni mashabiki wa wanasiasa ambao hawajali kufanya, kusema ama kumtumia yeyote kutimiza malengo yao. Hapa Arusha mabomu na risasi zilipotikisa jiji wakubwa hao wanaochochea na kutumia udini hawakuumizwa wala hawajafiwa na jamaa zao. Think about this and above all, seek and maintain PEACE before you lose it!
   
 10. m

  mzalendo2 Senior Member

  #10
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hawa wauwawe tu, kwani wao si ndugu zetu mbona wamtuuwa.

  jana pita pita zangu nimekutana na Polisi ananiomba lifti anawahi kazini, aah nilimiacha nikapakiwa wengine pale stendi yeye nikaliachilia mbali shenzi type
   
 11. CPU

  CPU JF Gold Member

  #11
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  A man will work HARDER for his interests than for his RIGHTS
   
 12. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii sio kupandikiza chuki ila asiye jua thamani ya uhai wa mwenzie hastahili kupendwa...........Vyovyote itakavyo kuwa polisi hawastahili kupendwa kwasababu wamegeuka wanyang'anyi na wa uwaji, sasa hivi ukiwa na kesi yako polisi uwe una haki au huna haki lazima pesa zikutoke tena sio kidogo na mwishowe hakuna msaada unapata kutoka kwao sasa wapendwe kwa lipi? ................hawa polisi wametugeuka na wameacha maadili ya kazi zao wamebaki kuwa wakora.
   
 13. M

  Manyiri Member

  #13
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 27, 2007
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Na majambazi wakituibia tuende kwa balozi?
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  na TBC1 imekulahisishia kazi sasa hivi utawajua wote walio waliouwa ndugu zetu...
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  unaweza kuni tajia wakubwa angalau watano wanao eneza chuki za kidini walio kuwepo siku ya tarehe 5-1-2011....wewe ni amani ipi unayo hofu kuipoteza?
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hata sungusungu tunaweza kuanzisha....polisi wenyewe uki vamiwa ukiwapingia simu hawapokei na wakipokea watajidai hawajui sehemu husika na ukiwaelekeza watakuja baada ya saa au zaidi
   
 17. n

  nyantella JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Taahira kweli wewe!
  hivi unafikiri kazi wanayofanya Police kuhangaika na wehu kama wewe ni ndogo? halafu unafikiri hawana ndugu? wao si watanzania? wajinga kama wewe wanafanya kazi yao kuwa ngumu! mnajitahidi saana kuwavunja morale hawa vijana kwa manufaa ya CDM.

  mnataka kusema nyinyi na migwanda yenu ya mgambo sijui wa nchi gani mkiinga madarakani mtalinda usalama nyinyi? hamtahitaji police? acheni ujuha! mnagopa kumwambia Slaa alichemka kuwaambia wana CDM wakavamie kituo cha police? msijali tutawasaidia kumwambia ili next time asirudie kutoa amri za kijinga kama vile. We are independent!!!! na hatumuabudu mtu yeyote.

  kwanza mjue baadhi ya police walimpigia kura huyo kiongozi wenu mnaye mwabudu aliye waamuru mkavamie kituo cha police. sijui alitegemea nini.

  acha majambazi waanze kazi yao ndiyo mtawakumbuka. na Arusha wanafahamu jinsi ilivyo kwa ujambazi.

  watengeni tu, halafu wafanye mgomo baridi nao majambazi waibuke tuone nani zaidi.

  If you ask me this thread is cheap and useless as the person who created it. Is this meannt for this forum of great thinkers? how can a great think have such a myopic view?
   
 18. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sio polisi wote wenye matatizo wengine wanatumwa tu tujitahidi tu kuwashawishi waachane na mambo ya kutumwa kwani yamepitwa na wakati
   
 19. ghumpi

  ghumpi Senior Member

  #19
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Oldarus you are quite right
   
 20. m

  mpingomkavu Member

  #20
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatitizo jamani siyo polisi ni huyu MKWERE na shemeji yake IGP MBAYA wala tusiwe na chuki na polisi kwani wao ni kama mbwa tu akiambiwa kamat huyo basi kazi iliyopo ni kukamata tu.tuwaonee huruma
   
Loading...