Polisi wajeruhiwa na wengine mahututi Zanzibar

Ami miye nenda mchambawima na huyu Jambazi(CCM) atangulie mwenyewe kituoni miye nenda kula urojo. Ni wabunge wao wanaowatukana wanaowatetea na kuitetea ZNZ ila wao kwakuwa ni waznz wenzao wao hawaoni baya kwakuwa wanakula urojo pamoja. wanashindwa kula sambamba na Jambazi lao la muungano(CCM)wanaliachie liende lenyewe kituoni bila kulichukulia hatua madhubuti kuhakikisha linanyongelewa mbali znz wao wanadeal na Chadema. Rais wao alishasema ataulinda muungano Makamu wao wakukata utepe hana lakusema sasa anakula urojo Ikulu Chadema wakija kuwawatetea kwakuwa CUF imeshindwa kuwatetea kama wapinzani wao wanawatukana mpaka kwenyemitandao yao. Ndugu zangu wa ZNZ Adui yenu kwa sasa ni CUF na CCM fungueni macho.

Miye simo ngoja niende zangu kiembesamaki kwa babu nikotoka nitapita kwa mjomba mchafukoge kwa binti Aly nile urojo
 
Tanzania eeeh..
Nchi yangu eeeh..
Nakupenda eeeh..
Karibuni muionee...
 
Kuna habari za hapa na pale zimeanza kuenea kuwa kuna kikundi cha polisi wamepigwa ambush usiku huu na kuumizwa vibaya huko zanzibar ,uvumi unasema mpaka sasa ni kuwindana ni allout fighting.
Yakhe weye wajua mahali ntapata urojo mix?
 
Kumbe majeruhi ni raia na kuna habari kuwa raia mmoja ameuawa na polisi,
 
Hao waislamu wataichoma zanzibar polisi wanatakiwa wawe makini sana.
 
Hawa ndg zangu wa uamsho sijui hawajui kama adui yao sio mbara ni mznz mwenzao,wao wakitaka kuvunja muungano simple sana'wafanye atack kwa wabunge wao ambao huwa wanakwenda Dom kwenye bunge la jamhuri,na viongozi wao mawaziri na wengne ambao wanashabikia muungano basi,wakichoma majumba yao sidhani kama hawa watakuwa na hamu na muungano tena'

Mkuu! Sina kitufe cha kukupa THANS! nakupa Tano! you are a great thinker!
 
Kuna habari za hapa na pale zimeanza kuenea kuwa kuna kikundi cha polisi wamepigwa ambush usiku huu na kuumizwa vibaya huko zanzibar ,uvumi unasema mpaka sasa ni kuwindana ni allout fighting.[/QUOTE]

Habari za kiumbea hizi hakuna jambo kama hilo hapa
 
Back
Top Bottom