Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Tayari tumeshafanya mawasiliano na makamanda wetu,wanaelekea kwa kasi kutoka maeneo mbalimbali ya mji kwenda nyumbani kwa Kamanda Lema,kama noma na iwe noma
Kamanda Nanyaro,
Bravo,natamani niwe Arusha.Leo.Tulianzishe na kutoa Fundisho.Hatuwezi kuvumilia upuuzi huu kwa maslahi ya watawala.Naamini leo.kitaeleweka.Leo ni lazima waijue jeuri ya vijana wa Arusha katika kukata kiu ya haki