Polisi waendesha kamata kamata Posta

Kumbe huishii kuiba simu tu hata wake za watu unaiba? We wakupeleke tu ukanyee debe u-yahaya wako umepitiliza.

we umeshaona wapi mke wa mtu akaibwa.maadam hajabakwa ujue kapenda. mkeo kicheche wacha tujipigie kupoza machungu ya life.
 
Cku hizi vibaka nao wamo kila sehemu hata jf halafu ni ya polisi kukamata kama hujui,

duh! umejuaje!? askari wewe, mpelelezi wewe, mwendesha mashitaka wewe na hakimi wewe. hongera! hakimu mtendahaki!
 
Kama umekwenda shule lazima utajua haki zako za msingi

suala ni kwenda shule au kuelimika!? mbona wengi tu wamekwenda shule na hawajaelimika.
 
Unaona ujanja kula mke wa mtu subiri yakukute lazima watakula 0713

ujanja ni mtazamo wako! kataka mwenyewe. ukichekezea "koki" lazima ulowe.
 
Naona kama kizungu nitakuwa sijakutendea haki mkuu pole na shule yako ya kata

hakuna lugha ya kizungu. kuna kiingereza, kifaransa, kijerumani na lugha nyingine nyingi. andika kwa lugha yako unayoipenda. ruksa!
 
People who are truly ignorant are not aware of their ignorance

you f..ckin crazy!? so you think someone can't be ignorant just because he/she can write and speak in English. kumbe kujua hicho kilugha chenu ni dili kiasi hicho. kweli tumeliwa!
 

wakamatwe tu coz walikiuka kauli ya mkuu wa mkoa aliyesema usije mjini.
 
you f..ckin crazy!? so you think someone can't be ignorant just because he/she can write and speak in English. kumbe kujua hicho kilugha chenu ni dili kiasi hicho. kweli tumeliwa!

You have improve your thinking capacity well done
 
bora wameona hili, watu wanapata taabu sana hapa mjini, wameona wawasaidie maana wengi hawajielewi, sasa unakuja hapa town halafu unauza maji , unaishi kwa taabu tupu wakati mapori yamejaa ukilima unapata pesa yako na chakula?? Maisha magumu kisa na wewe uonekane upo mjini tu, warudisheni na muwape means ya kulima..mtu unatapeli hadi vocha?? whats that for?? ujinga ukizidi kuna kukumbushana
 
we ukiambiwa ulime utalima? au mnataka wengine wapinde migongo kwa jembe la mkono! wazee wamekufa masikini na kilimo chao, ndio maana tunakuja town kuuza leso na kulala ghetto watu nane na hamuwezi kutuzuia.
Du poleni sana wakuu, (Machin-gay)
Hao POLISI mbona hawaendi Beach kuwakamata wale wanaopunga upepo km sio uonevu ni nini?
au labda kuna mtu kakwapuliwa hayo maeneo ya Posta ya zamani, maana mm walinipiga mzigo mzima pale Kariakoo na Congo St jamaa kabeba Box langu la cargo mm natangulia kusafisha njia, alivyozama shimoni sikuamini nikaomba nauli nikarudi Bara. Jamani dar km huna kazi ni bora kurudi huku tusubiri msimu, au tulangue karanga
 
You have improve your thinking capacity well done

lugha yenyewe ngumu kwako si lazima uitumie. ni 'improved' na sio 'improve' hata tense kwako ni ngumu. pole msomi wa st...hata mimi wa kata nakushinda kwa hili!
 

kwa nini utapeliwe! mnapenda rahisi mno. nchi huru hii wapi sheria imerestrict hili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…