Polisi wa TZ kwa mikwara na vitisho...WTF!

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Huu mkwara wote ni kwa ajili ya wanafunzi wa IAA na mbunge wa Arusha mjini..

Polisi-1-800x600.jpg
 
hawana lolole na wakikukuta mjinga mjinga,kazi utaiona...chakushangaza pamoja na mbwembwe zao bado tuko nao katika nyumba zakupanga na tunakunywa nao ulazi....kama tungetaka kulipa visasi hawa wangeisha.....
 
Acha waonyeshe ubabe wao kwani itafika muda hawatokuwa na uhuru wa kutisha wananchi kiasi hicho.
 
hawana lolole na wakikukuta mjinga mjinga,kazi utaiona...chakushangaza pamoja na mbwembwe zao bado tuko nao katika nyumba zakupanga na tunakunywa nao ulazi....kama tungetaka kulipa visasi hawa wangeisha.....

si bora nyumba za kupanga kuna wale polisi wanaoishi kwenye vibanda vya bati...all in all polisi anatakiwa awe rafiki na si adui
 
Serikali pesa ya kununua dawa mahospitalini aina,ila kununulia polisi virungu wanazo!
 
naona walikuwa wanatest vifaa vyao vya kazi kutishia wanafunzi

Walioomba kuimarishiwa ulinzi ili wasidhuriwe na watu wa mtaani ilionekana wanaleta fujo na uvunjifu wa amani na wakapewa sadaka za mabomu na virungu ikiwa ni pamoja na kufukuzwa. Leo ulinzi umeimarishwa, Kiuhalisia wanalinda nini? ni majengo, wakufunzi. nashindwa kuclick faili husika hebu fungukeni vizuri mliopo karibu
 
Ukianagalia hio picha wamevaa kujikinga wao wenyewe dhidi ya wananchi endapo itatokea mapambano, hawalindi raia bali wanatekeleza maagizo na amri ya wakuu wao, hapo wakiambia piga ua wanatekeleza. Sioni sababu ya kutumia nguvu nyiingi kudhibiti wanafunzi wasio hata na nyundo!! hii yote ni ufujaji wa mali za umma maana kila polisi hapo kavaa si chini ya mamilioni ya shilingi ambayo yangetumika kudumisha sekta nyingine muhimu.
 
Kweli ndugu vyeo ni bora kuliko uhai wa raia
 
hawana lolole na wakikukuta mjinga mjinga,kazi utaiona...chakushangaza pamoja na mbwembwe zao bado tuko nao katika nyumba zakupanga na tunakunywa nao ulazi....kama tungetaka kulipa visasi hawa wangeisha.....
Ingekuwa haya wanafanyiwa wale wa wenye kwenda kwenye nyumba za ibada mngeunga mkono asilimia mia moja,na kusema wacha wapate kipigo,wache wakanyee debe,na wakati hao wanafunzi ni waTanzania,nao mnaosema wapigwe ni wa Tanzania,msiwe ndumila kuwili,huku mwapendelea huku mwakandamiza.Au ingekuwa ni chuo cha taasisi ya ya hao,pia mngesema waache wakanyee Debe,mbona hapa hakuna anayesema wakanyee Debe.
 
Huu mkwara wote ni kwa ajili ya wanafunzi wa IAA na mbunge wa Arusha mjini..

Polisi-1-800x600.jpg

Wandugu waTZ,
ivyo hawa maPai wanaamaruru TEMBO kwenda kuua sisimizi
?
Kama ni wanafunzi wameshika kalamu na madaftari Hao jamaa wanawakabili na Mikwara na semani nzito:-
LooooL si uonevu huo!!
 
Ingekuwa haya wanafanyiwa wale wa wenye kwenda kwenye nyumba za ibada mngeunga mkono asilimia mia moja,na kusema wacha wapate kipigo,wache wakanyee debe,na wakati hao wanafunzi ni waTanzania,nao mnaosema wapigwe ni wa Tanzania,msiwe ndumila kuwili,huku mwapendelea huku mwakandamiza.Au ingekuwa ni chuo cha taasisi ya ya hao,pia mngesema waache wakanyee Debe,mbona hapa hakuna anayesema wakanyee Debe.

Ndugu Ustadhi mpendwa,
Kwani hujui kuwa nchi ina sura mbili..... Jicho moja la lenga kwenu na jicho lingine la wote.!! umenipata ?
Amri haitoki kwao ujue inatokae mbali kwa wakuu. Tafadhalini kaaeni kwa "udhu"
 
Huu mkwara wote ni kwa ajili ya wanafunzi wa IAA na mbunge wa Arusha mjini..

Polisi-1-800x600.jpg
dah, kweli hii ndo tz...wakati wenzetu hivi wanavaa wakiwa wanakwenda kwenye ishu nzito..kama kutegua mabomu hivi huku wanavaa eti kwenda kutuliza vurugu tena za ka chuo kamoja tu wanafunzi wasiofika hata 5000..
 
Ndugu Ustadhi mpendwa,
Kwani hujui kuwa nchi ina sura mbili..... Jicho moja la lenga kwenu na jicho lingine la wote.!! umenipata ?
Amri haitoki kwao ujue inatokae mbali kwa wakuu. Tafadhalini kaaeni kwa "udhu"
nimekupata Mkuu wangu.Na nimekuelewa.
 
Nilipigwa ban for two days kwa sababu ya mtu kama huyu na mtazamo wake wa kidini,k

Back
Top Bottom