Polisi wa Tanzania wanafanya mavituuuuz

576270_279592948793322_794141216_n.jpg

hawa sio wale walioimbishwa wimbo kule geita kweli kuhusu mishikaki...
 

usidanganyike Mbuzi Mzee kwani haya ni mazingaombwe tu. Moto always huandamana na maumivu sasa wewe umeicheki vyema hiyo sura ya mzee kova. Huu ni mchezo wa kuwajengea ujasiri maaskari kwa kutumia mazingaomwe. Ni mchezo wa kucheza na saikolojia yao tu. Yaani wewe upite juu ya moto halafu wakenua meno kwa kicheko. Wakawadanganye haohao siyo mimi
 
35500_290334634385820_929031218_n.jpg

  1. Moto wa spirit hauunguzi, ndo unakuta watu wanatia miali ya moto mdomoni na hawaungui.
  2. Kinachonichekesha ni kitambu chake.
 
555677_205586779568142_1662924381_n.jpg



IGP MWEMA VIJANA WAKO WANAFANYA KAZI KUBWA SANA TENA YA ZIADA HUKO RORYA NA TARIME, HAYO SI MAGUNIA YA MAHINDI AU MAHARAGE BALI VIJANA WAKO WAMEBEBA MAGUNIA YA BANGI KUTOKA KWA WAKULIMA, HAWA NDIYO POLISI TUNAOWATAKA TANZANIA SI WALE WA MAMA WATOTO BANDIKA SUFURIA I WILL BE BACK SOON...,
 
kama wao wanafanya hivi Je wananchi wafanyeje?
Hilo lisikushangaze sana Mkuu, mbona wao wanakamata wala rushwa lakini wamesahau mizizi na mashina yamo vituoni mwao. Wahahubiri kutojichukulia sheria mikononi wakati wao wanawapiga makofi na virungu watuhumiwa hata kabla ya kuwapeleka mahakamani!
 
Back
Top Bottom