Polisi wa tanzania katika ubora wao....

Polisi wa tanzania katika ubora wao....

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
Shughuli ilikuwa pevu sana jana pale TNG...

Kwa kweli tuliwafurumua wale vibaka si mchezo..

Hii picha niliipiga baada ya kuingia na kikosi cha pili cha JWTZ...

10978493_401244273371838_5822596992340260122_n.jpg
 
...wamekula za mbavu tanga mpaka wakakimbia ....
 
Huwa nacheka sana kila nikiangalia hii picha.
 
Yaani mmeshindwa kum apprehend hata mmoja??? Wamekimbiaje msiwaone?????! Watu wapo mapangoni mlishindwa kuwalaza usingizi mkawachukue kama kuku.
 
hili jeshi halina uwezo wa kupampana na wahalif ila kina uwezo wa kuua na kupiga waandamaji tu. jana jesh zima, vifaru nandege vimeshindwa kukamata mharif hata mmoja badala yake wameuawa na kujeruhiwa vibaya,
 
Jeshi la kuzuia maandamano kwa taarifa za kiintelijensia hahahahahaaaaa only in Tanzania
 
Ni Aibu kwa Kuwazingira hao Wanaowahita Magaidi tena wakiwa ndani ya Pango halafu Kinyume chake Mkauawa ninyi. Inakuwaje watu mmekwenda kuwakamata na hawana taarifa na maandalizi yoyote kuwa watakuwa watavamiwa.

Eti Jana kwenye taarifa ya habari ITV tunaambiwa Mwanajeshi mmoja SGT wa JW amauwawa na idadi ya Polisi isiyopungua nne wamejeruhiwa ile mbaya.

Ni aibu na ndio maana polisi wale walimzuia mwandishi asichukue picha eneo la tukio na pia hata hospitali. very sheme kwa kweli. Yaani hata kumvunja mguu gaidi mmoja mlishindwa... Hii ni aibu na hatari sana.
 
Hayo ndo madhara ya kubebana mkuu.

vyombo vya ulinz siku izi ni fursa ya ajira pia...
 
Back
Top Bottom