MBWA WA MANZESE
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,621
- 614
Yaani mmeshindwa kum apprehend hata mmoja??? Wamekimbiaje msiwaone?????! Watu wapo mapangoni mlishindwa kuwalaza usingizi mkawachukue kama kuku.
Hii ya kuwalaza usingizi inanikumbusha wale magaidi wa kwenye jumba la sinema kule Urusi, walipigwa dozi wakasinzia wakawa wanaokotwa kama kumbikumbi, eti hawa wote wametoroka na kurudi Somalia, inachekesha sana.