Polisi wa mama ndio walioteka akina Sativa........

Polisi wa mama ndio walioteka akina Sativa........

Sawa peleka huo ushahidi mahakamani ukawafunge
 
Natamani kuwaandika ila mjue Polisi ni kasha la kushikishwa uchafu, wahusika wakuu hufanya kazi na Polisi kwa kuwa mamlaka ya kudeal na Raia na Usalama wa Mali zao inaaminika ni kazi ya Polisi.
 
Hello JF

Kwa wale ambao washawahi kuangalia drama za Crime Scene Investigation washawahi kuona ' profiling ' wanayofanya wachunguzi kujua kama crime Imekuwa committed na mtu mmoja au tofauti..........

kina Heche/Hilda kuchukuliwa 1. Kuzungushwa kwenye gari 2. Kupigwa 3.Kuachwa msituni ni similar na kina Sativa na wengine walivyofanyiwa............

Tunaweza ku conclude ni the same perpetrators waliocommit both crimes........

Sijui nani atanishawish sio polisi wa mama waliomteka Sativa.....

Serikali ya samia ina roho/damu za watu zinazolia...I wonder how she sleeps at night...

To think she will lead another term makes me sick!
Umebarikiwa uwezo wa akili na ufahamu mzuri...hongera sana!
 
Eeh anadai hajui wanawake wanaojitambua wakoje.
Hahaha
20250422_154624.jpg
 
Hello JF

Kwa wale ambao washawahi kuangalia drama za Crime Scene Investigation washawahi kuona ' profiling ' wanayofanya wachunguzi kujua kama crime Imekuwa committed na mtu mmoja au tofauti..........

kina Heche/Hilda kuchukuliwa 1. Kuzungushwa kwenye gari 2. Kupigwa 3.Kuachwa msituni ni similar na kina Sativa na wengine walivyofanyiwa............

Tunaweza ku conclude ni the same perpetrators waliocommit both crimes........

Sijui nani atanishawish sio polisi wa mama waliomteka Sativa.....

Serikali ya samia ina roho/damu za watu zinazolia...I wonder how she sleeps at night...

To think she will lead another term makes me sick!
Hapana,
huenda ni walinzi binafsi wa heche ambao ni makatili vibaya sana ambao pia walimpiga na kumuumiza vibaya sana binti Sigrada Mligo pale Njombe, huenda ni hao hao ndio walimdhulumu kibao na huyo sativa,

Si hivyo tu,
ilifikia mahali hata mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa alikua anavaa bullet proof vest, haikufahamika mapema alitishwa na walinzi binafsi wa heche ambao ni katili sana au vinginevyo,

But mwenyekiti mpya wa Chadema alikua akivaa bullet proof vest kuingia Chadema HQ sijui alikua anaogopa nini, sasa hivi havai tena 🐒
 
Back
Top Bottom