Hapana,
huenda ni walinzi binafsi wa heche ambao ni makatili vibaya sana ambao pia walimpiga na kumuumiza vibaya sana binti Sigrada Mligo pale Njombe, huenda ni hao hao ndio walimdhulumu kibao na huyo sativa,
Si hivyo tu,
ilifikia mahali hata mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa alikua anavaa bullet proof vest, haikufahamika mapema alitishwa na walinzi binafsi wa heche ambao ni katili sana au vinginevyo,
But mwenyekiti mpya wa Chadema alikua akivaa bullet proof vest kuingia Chadema HQ sijui alikua anaogopa nini, sasa hivi havai tena 🐒