Polisi wa kitanzania kwa kuchapa wapo hodari sana ehhhhhh AFANDE PIGA UWA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wa kitanzania kwa kuchapa wapo hodari sana ehhhhhh AFANDE PIGA UWA

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Nov 13, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Polisi akimpiga mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walipoandamana kushinikiza kupewa mikopo.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]Hili lungu sijuwi nimpige nalo kichwani ndio atanyamaza huyu panya!!!!!!
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Hivi... Huyo polisi hapo hajichukulii sheria mkononi..?
   
 4. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,866
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Huyo kijana anaonekana kajisalimisha lakini bado anapigwa, what is this? Uncivilization au kisasi cha wao FFU kukosa elimu ya chuo kikuu????
   
 5. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Ffu anampaje adhabu ya kumpoga huyo mwanafunzi bila kumfikisha mbele ya sheria ili hakimu aamue kama ana hatia au la?
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Mbona. Sijawahi kuona picha za polisi wa Ulaya wakipiga mangumi na marungu waandamanaji?
   
 7. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Askari wa Tanzania ni wapumbavu, wapuuzi na washen.. sana.
   
 8. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  dah, huyu polisi ni hovyo kabisa, hivi kupata kazi ya upolisi inabidi uwe na sifa gani, hawa polisi wa Tz uwezo wao wa kufanya kazi upo chini sana au ndivyo jinsi walivyofundishwa?
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hapo unakamata polisi mmoja wa kufa naye!
   
 10. driller

  driller JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  huyu polisi yani hapo kama ni mimi angejuta.. coz kwakweli ningemtafuta dunia nzima hii..! yani nimesha salimu amri halafu anaendelea kunipiga..!!! hahaaaaaa...!!!
   
 11. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ila polisi wa Tanzania hawawezi kupambana na majambazi. hata kibaka mmoja tu anawaweza
   
 12. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 13. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  policcm at work!
   
 14. s

  smp143 Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndio nchi yetu ilivyobakia.hawa mapolisi wetu hawana elimu,wanaona kupiga marungu na kutunyanyasa ndio faragha.rushwa wanakula in the open daylight.I hate them.ipo siku kibao kitawageukia na siye wananchi kutawatwanga mambwa hao..
   
 15. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hao polisi wana wivu sana na wanachuo
   
 16. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  sijui anamisha gan mpk kumfanya mwenzake hivi
   
 17. M

  Mzee wa Safety Member

  #17
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuwe na huruma na hizi damu za Watanzania
   
 18. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hatuna polisi,tuna wahuni tu Tanzania.Ikinitokea mimi nitahakikisha nakula sahani moja na mmoja wao.Mimi jela yeye muhimbili.Ama ikiwezekana wote mimi na yeye AKHERA!
   
 19. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  daaaha masikiiini kijana wa watu kasarenda lakini waaaaapy
   
 20. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  yap uvumilive sasa no zero, serikali inatakiwa na vyombo vyake vya dola inatakiwa kuwa mlinzi wa kwanza wa haki za binadam na usawa because kila mtu ana haki sawa ya kudai usawa pale aonapo usawa kutokuwepo au kuwapo kwa kundi flan la watu, tusifanye makosa 2015
   
Loading...