inabidi usiwe na akili ya kufikiria, uwezo wako uwe mdogo ni ule wa kuambiwa fanya na una tenda kama ulivyoambiwa hata kama ni kujimaliza na unatakiwa pia kuchukia maendeleo na kuona wengine wamepata kwa sababu ya wewe kukosa...we need a better police force for sure...dah, huyu polisi ni hovyo kabisa, hivi kupata kazi ya upolisi inabidi uwe na sifa gani, hawa polisi wa Tz uwezo wao wa kufanya kazi upo chini sana au ndivyo jinsi walivyofundishwa?