joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Katiba mpya inato madaraka kwa polisi kupiga mtu yeyote watakavyo.Lkn katiba mpya inasemaje?
Duu, ni shidaa, yaani katiba kumbe ni mkatili kiasi hiki?Katiba mpya inato madaraka kwa polisi kupiga mtu yeyote watakavyo
Kwao wanayo katiba mpya, kwahiyo kila kitu kimo ndani ya katiba mpya, hayo mengine sio muhimuKwani Uhuru amesemaje maana ni rahisi kwake kuwaongelea majirani
Katiba bora Africa nzimaIle katiba yao bora Africa ama kwa hakika imemjali police kwa kumpa mazingira wezeshi
Hahaa ...kwa kweli polisi wamepewa mazingira wezeshi licha ya hayo,katiba mpya ime establish , Independent police Oversight Authority ( IPOA)...ambayo hutumika ku oversight utendakazi wa polisi.Ile katiba yao bora Africa ama kwa hakika imemjali police kwa kumpa mazingira wezeshi 😅😅😅
Hahahaha, kwahiyo polisi wakipiga na kuua raia hiyo ndia inakua "featured" ila wakihukumiwa haiwi "featured".Hahaa ...kwa kweli polisi wamepewa mazingira wezeshi licha ya hayo,katiba mpya ime establish , Independent police Oversight Authority ( IPOA)...ambayo hutumika ku oversight utendakazi wa polisi.
Polisi wengi wamepoteza ajira kwa kupatikana na hatia...ila hawakuwi featured na Media kama wanaopatikana na hatia.
Tunajua mapungufu yetu na we are actively seeking solutions to our challenges.
Hivi wale waliowauwa watu zanzibar walikamatwa?....polisi kukamatwa na kuhukumiwa si Jambo geni hapa Kenya.Hahahaha, kwahiyo polisi wakipiga na kuua raia hiyo ndia inakua "featured" ila wakihukumiwa haiwi "featured".
Usijaribu kuficha ukweli, kama kweli wangekua wanahadhibiwa na kufukuzwa kazi pindi wanapopiga raia na kuua watu, hayo matukio yangepungua au kuisha kabisa.
Huku Tanzania kuna polisi waliua wafanyabiashara wanne 2011 kwa kisingizio kwamba walikua majambazi, mkuu wa upelelezi wa wilaya (OC, CID), alihukumiwa Kunyongwa, 2015 Police walimuua mwanahabari huko Iringa, Polisi alifungwa miaka 15, tangu hapo Polisi wameogopa sana hawajaribu kupiga watu hovyo kama huko kwenu.
Weka ushahidi wa watu tisa kuuliwa Zanzibar. Weka ushahidi kama kuna POLISI au mtu yeyote aliyechukuliwa hatua wakati wa PEV 2007/8, weka ushahidi kama kuna mtu au askari yeyote aliyechukuliwa hatua kufuatia vifo vya zaidi ya wajaluo 60 waliouliwa katika uchaguzi wa 2017. IPOA ndio nini?, tunataka serikali iwachukulie hatua wahusika sio NGO kutoa ripoti zisizokua na faida yoyoteBaada ya polisi kuwapiga risasi watu tisa wakati wa maandamano dhidi ya madai ya wizi wa kura huko zanzibar mbona hatujaskia wamekamatwa ama hata ripoti ya uchunguzi wa tukio hilo.?..
Hii ndio Ripoti iliotolewa na IPOA baada ya tukio lililofanyika wiki Jana.
View attachment 1662726
IPOA si NGO Kama unavyodai.....IPOA ni institution ya serekali ilioundwa na katiba mpya ku oversight utendakazi wa polisi.( Independent police oversight Authority).Kama vile tuna military police.Weka ushahidi wa watu tisa kuuliwa Zanzibar. Weka ushahidi kama kuna POLISI au mtu yeyote aliyechukuliwa hatua wakati wa PEV 2007/8, weka ushahidi kama kuna mtu au askari yeyote aliyechukuliwa hatua kufuatia vifo vya zaidi ya wajaluo 60 waliouliwa katika uchaguzi wa 2017. IPOA ndio nini?, tunataka serikali iwachukulie hatua wahusika sio NGO kutoa ripoti zisizokua na faida yoyote
Hivi huko kwenyu ukudhulumiwa na polisi unaenda kuripoti kwa Nani ?....Maana media zenu zimebanwa na hata sijui Kama kuna idara yoyote ambayo huangalia utendakazi wa polisi.Duu, ni shidaa, yaani katiba kumbe ni mkatili kiasi hiki?