Huyu jamaa nasikia sifa zake bahati mbaya sijawahi kumuangalia kwa mda mrefu akicheza. Ntajitahidi nimuone. Kuna yule Mkandala kiwango chake nimekikubali ni mtulivu halafu ana jicho lakuona vipenyo. Very intelligent playerNimekuelewa mkuu, majogoro ni mmoja Kati ya viungo bora wa Kati kwa sasa nchini.
Anavutia aina yake ya uchezaji , uwezo mkubwa wa kulitawala dimba la kati. Yuko vizuri sana huyu jamaa.
Nilianza kumfuatilia tangu akiwa yuko ndanda SC.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, kwani wao hawapendi usafiri, naona wanapanda juu ya mpira.Watoe hata droo tuwape vitz kila mmoja
Ukiona uzi huu hautembei ujue yanga anaongoza au ameshinda. Mara nyingi uzi wa Yanga huchangiwa kwa makumi na mikia.Tariq Seif Vyura fc 1
Sio kuchangia tu, siku hizi ni vimbelembele kufungua live update za mechi za Yanga.Ukiona uzi huu hautembei ujue yanga anaongoza au ameshinda. Mara nyingi uzi wa yanga huchangiwa kwa makumi na mikia.
Matheo Antony, Sabilo, Majogoro na Kaheza njooni mchukue Vitz zenuWatoe hata droo tuwape vitz kila mmoja
Vyura wamebebwaUkiona uzi huu hautembei ujue yanga anaongoza au ameshinda...mara nyingi uzi wa yanga huchangiwa kwa makumi na mikia
FafanuaVyura wamebebwa
Sare nyingine hii kwa Vyura fc
Wazee wa kutembea juu ya mpira ubingwa watausikia redioni.
Simba nguvu moja