mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 543
- 1,839
Nikiwa kama mwanachama halali wa yanga na shabiki mwenye mapenzi ya kweli na timu yangu, naomba niseme wazi bila kupepesa macho kwamba mchezaji wetu bakari nondo mwamnyeto ameshuka sana kiwango msimu huu.
Naomba nieleweke wazi kuwa tathmini hii haizingatii mechi hii ya Leo dhidi ya Tanzania prisons pekee, bali katika mechi zote alizoaminiwa na kupewa nafasi ya kucheza huyu jamaa amesababisha hasara kubwa sana kimatokeo kwa timu yetu.
Mechi ya kwanza yanga sc tunacheza na ihefu back pass yake ndio ilileta madhara na ihefu wakutupiga bao la kwanza kabla ya yeye kukabia macho goli la pili la Charles ilafya.
Mechi dhidi ya madeama away Ghana, anafanya makosa mengi ya kiufundi mwisho wa siku anamuachia mzigo dickson job anacheza faulo ndani ya boksi kisha tunapigwa chuma ya penalty na Jonathan soawa.
Mechi dhidi ya Al ahly anafanya making ya kipumbavu kabisa anampasia pass ya wazi percy Tau anatupiga chuma kwa mkapa.
Mechi dhidi ya Tanzania prisons jamaa anafanya makosa lukuki ya kipumbavu, nakumsababishia kadi nyekundu metacha mnata, hiyo haitoshi kwa makosa yale yale anamsababishia kadi nyekundu zabona mayombia wa Tanzania prisons.
Huyu mwamnyeto ajiangalie, Yanga sio ya baba yake wala sio timu ya wazigua, nafikiri niwakati wa yeye kuachia kitambaa cha unahodha katika mikono ya khalidi aucho.
Mwamnyeto wewe ni tatizo Yanga sc.