FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 7,627
- 9,321
picha yake tafadhaliNimekuelewa mkuu, majogoro ni mmoja Kati ya viungo bora wa Kati kwa sasa nchini.
Anavutia aina yake ya uchezaji , uwezo mkubwa wa kulitawala dimba la kati. Yuko vizuri sana huyu jamaa.
Nilianza kumfuatilia tangu akiwa yuko ndanda SC.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app