Polisi Tanzania vs Yanga: Macho yangu yote kwa huyu jamaa

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,798
Leo ntakua na kazi moja tu kumuangalia Kiungo makini sn,ambaye huwa namuona kakamilika kwa kila kitu. Si mwingine bali ni Baraka Majogoro. Baada ya mechi ntaongea zaidi.

Baraka vs Tshishimbi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa mkuu, majogoro ni mmoja Kati ya viungo bora wa Kati kwa sasa nchini.

Anavutia aina yake ya uchezaji, uwezo mkubwa wa kulitawala dimba la kati. Yuko vizuri sana huyu jamaa.

Nilianza kumfuatilia tangu akiwa yuko ndanda SC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa mkuu, majogoro ni mmoja Kati ya viungo bora wa Kati kwa sasa nchini.

Anavutia aina yake ya uchezaji , uwezo mkubwa wa kulitawala dimba la kati. Yuko vizuri sana huyu jamaa.

Nilianza kumfuatilia tangu akiwa yuko ndanda SC.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa nasikia sifa zake bahati mbaya sijawahi kumuangalia kwa mda mrefu akicheza. Ntajitahidi nimuone. Kuna yule Mkandala kiwango chake nimekikubali ni mtulivu halafu ana jicho lakuona vipenyo. Very intelligent player

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona uzi huu hautembei ujue yanga anaongoza au ameshinda. Mara nyingi uzi wa yanga huchangiwa kwa makumi na mikia.
Sio kuchangia tu, siku hizi ni vimbelembele kufungua live update za mechi za Yanga.
 
Sare nyingine hii kwa Vyura fc. Wazee wa kutembea juu ya mpira ubingwa watausikia redioni.

Simba nguvu moja
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom