Polisi Tanzania Vs Simba SC (0-1) | VPL | CCM Kirumba

Huyu Kagere nadhani ana tatizo fulani sasa sio bure kuna kitu hakipo sawa kwake
 
Yani simba huu mpira sijui wawapi yani wanatumia nguvu kubwa kutafuta mpira ila wakifika ndani ya box wanarudisha tena nyuma na sometimes wanaupoteza kabisa. What a shit?
 
Bado polisi wanacheza vizuri sana, leo simba imedevels ebu cheki kama hiyo kross ya kagere
 
Si wanadanganywa na wachambuzi takataka eti ukicheza na Simba unatakiwa kuwapa tafu game kwa kuwagonga gonga sana wao ndio wanafuati huo ushauri wa kipuuzi.
Wachambuzi mandazi, vipindi vyao siku hizi hata sivisikilizi tena nilikuwa nahisi nasikiliza matahira, wao wanakwambia football is a contact game, lazima mgusane.

Ila kugusana kwenyewe wanakwambia wapinzani wa Simba lazima watumie nguvu, nikawa najiuliza sasa hiyo itakuwa football au wrestling? nikajua nasikiliza wajinga bora niwaachie wanaowaelewa.
 
Back
Top Bottom