Polisi sio mahala salama tena

Polisi sio mahala salama tena

Inasikitisha sana kwakweli:
Pesa sio kila kitu
Tutumie nguvu na akili zetu kujipatia kipato cha ziada
Tanzania ina fulsa nyingi sana yaani:
 
Guys sasa hivi ukigombana na mtu au kwa namna yoyote ukapata jambo linalokulazimu kwenda kituo cha polisi kushitaki aisee kama ni mtu samehe tu na kama ni deni la pesa angalia namna nyingine ya kumdai

Why nasema hivi, kuna taarifa imelenea huko Kinyerezi Daslam watu waliibiwa wakapiga simu polisi, aliepiga simu ni polisi mstaafu.

Polisi waliofeli shule na IQ zao ndogo walipofika waliwaua hao walioripoti kuibiwa na huyo askar mstaafu jumla waliua watu 8.

Hiyo imetokea Mwezi huu wa 11 tarehe 3. Kwa hiyo unaweza kuona ni jinsi gani sasa hivi Polisi wamegeuka majambazi ya kisheria.
Chai.

Taarifa sahihi ni hii.

Tukio limetokea Kinyerezi Kanga ,majira ya saa 4 usiku kipindi kile cha lockdown, kilichofanyika ni kwamba jamaa walikuwa wanakunywa bia mida hiyo ya usiku na walipoona duka la jirani yao vibaka wamevamia ikabidi wampigie simu muhusika ambaye kwa wakati huo alikuwa nje ya dar es salaam, hivyo baada ya hapo simu ikapigwa polisi, polisi walivyofika jamaa ikabidi wasogee ili kama kutahitajika sapoti ya aina yoyote waweze kuitoa, lakini badala yake wale polisi wakaanza kuwashambulia majirani hao.
 
Back
Top Bottom