Polisi sio mahala salama tena

Polisi sio mahala salama tena

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
857
Reaction score
2,289
Guys sasa hivi ukigombana na mtu au kwa namna yoyote ukapata jambo linalokulazimu kwenda kituo cha polisi kushitaki aisee kama ni mtu samehe tu na kama ni deni la pesa angalia namna nyingine ya kumdai

Why nasema hivi, kuna taarifa imelenea huko Kinyerezi Daslam watu waliibiwa wakapiga simu polisi, aliepiga simu ni polisi mstaafu.

Polisi waliofeli shule na IQ zao ndogo walipofika waliwaua hao walioripoti kuibiwa na huyo askar mstaafu jumla waliua watu 8.

Hiyo imetokea Mwezi huu wa 11 tarehe 3. Kwa hiyo unaweza kuona ni jinsi gani sasa hivi Polisi wamegeuka majambazi ya kisheria.
 
1001353201.jpg
 
Why nasema hivi, kuna taarifa imelenea huko Kinyerezi Daslam watu waliibiwa wakapiga simu polisi, aliepiga simu ni polisi mstaafu. Polisi waliofeli shule na IQ zao ndogo walipofika waliwaua hao walioripoti kuibiwa na huyo askar mstaafu jumla waliua watu 8. Hiyo imetokea Mwezi huu wa 11 tarehe 3. Kwa hiyo unaweza kuona ni jinsi gani sasa hivi Polisi wamegeuka majambazi ya kisheria.
Ukifika kwao ni sawa na kuangukia kayikati ya kundi la mbwa mwitu wenye njaa kali ya mwezi mzima!
 
Zaman tuliogopa majambazi lakin sasa wao ndio wamekuwa hao
 
Sio police tu..hata hosptali c salama ...we ukiwa unakata kata kitunguu chako hapo nyumban kuwa makini tu usijikate kias cha kwenda hosptal due tunaweza kukutoa kweny frij kama soda..
 
Guys sasa hivi ukigombana na mtu au kwa namna yoyote ukapata jambo linalokulazimu kwenda kituo cha polisi kushitaki aisee kama ni mtu samehe tu na kama ni deni la pesa angalia namna nyingine ya kumdai

Why nasema hivi, kuna taarifa imelenea huko Kinyerezi Daslam watu waliibiwa wakapiga simu polisi, aliepiga simu ni polisi mstaafu.

Polisi waliofeli shule na IQ zao ndogo walipofika waliwaua hao walioripoti kuibiwa na huyo askar mstaafu jumla waliua watu 8.

Hiyo imetokea Mwezi huu wa 11 tarehe 3. Kwa hiyo unaweza kuona ni jinsi gani sasa hivi Polisi wamegeuka majambazi ya kisheria.
Wewe ndio unajua leo,Namshukuru niliacha Upot mwaka wa 10 sasa
 
Vitu vingine mnazidisha uongo sasa
Usilete ubishi bila data bro,
Hilo tukio ni la kweli kama una watu unawafahamu huko Kinyerezi ulizia. Hata humu kulikuwa na uzi juu ya hilo tukio..

Guys sasa hivi ukigombana na mtu au kwa namna yoyote ukapata jambo linalokulazimu kwenda kituo cha polisi kushitaki aisee kama ni mtu samehe tu na kama ni deni la pesa angalia namna nyingine ya kumdai

Why nasema hivi, kuna taarifa imelenea huko Kinyerezi Daslam watu waliibiwa wakapiga simu polisi, aliepiga simu ni polisi mstaafu.

Polisi waliofeli shule na IQ zao ndogo walipofika waliwaua hao walioripoti kuibiwa na huyo askar mstaafu jumla waliua watu 8.

Hiyo imetokea Mwezi huu wa 11 tarehe 3. Kwa hiyo unaweza kuona ni jinsi gani sasa hivi Polisi wamegeuka majambazi ya kisheria.
Mm binafsi inapokuja swala la police, huwa najiambia mdomo nilipewa nilie chakula, acha nijinyamazie!
Matukio kama la SP Christopher Bageni katika case maarufu ya ACP Abdallah Zombe na wenzake kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kuwaua wafanya biashara watatu wa madini Ephraim Chigumbi, Sabinus Chigumbi na Mathias Lukombe pamoja na dereva taxi Juma Ndugu, tarehe 14 January 2006, katika msitu wa Pande, Dar es Salaam; ni matukio yanayo lifedhehesha jeshi letu la police.
Mm naamini kazi ya police ni kazi adhimu, yenye heshma na dhamana kubwa; na kwamba tunao police wengi tu wanaozingatia maadili ya kazi zao katika kutekeleza majukumu yao. Lakini baadhi ya hawa ndugu zangu wasio waaminifu, wameigeuza hii kazi kuwa pango la ulanguzi. Wanadai rushwa, wanabambikia watu kesi, wanatishia na kupiga raia. Huku mitaani wananchi wakawaida wanaamini ukishaingia kituo cha police, hela lazima ikutoke, na huwezi kutoka bila kupigwa makofi, hata kama kosa lenyewe ni kudhurura ambalo kwakweli sijui kama tunahitaji kuwa na makosa ya namna hii kwenye dunia ya leo ambapo shughuli za uchumi zinaendelea usiku na mchana. Wakati mwingine tunaweza tafuta chuki za wananchi dhidi ya serikali zinatoka wapi, kumbe tunazizalisha wenyewe.
Mm ninaamini, tunao viongozi wa jeshi letu la police wenye weredi uadilifu na uhodari. Tunawaomba, tunapowahimiza wanachi kutunza amani mtusaidie kusimamia vyema mienendo ya askari wetu. Hali ilivyo sasa ukitoa malalamiko dhidi ya askari ni kama unakuwa umejitafutia matatizo, askari wetu wanachokijua nikulindana na kufichiana makosa. Kwa hali hii mahusiano ya wananchi na jeshi lao hayawezi kuwa mazuri na hata dhana ya police jamii haiwezi kufanikiwa.
Kama Jeshi la police tunampenda Rais wetu, Dkt Samia Suluhu Hassan, tumsaidie kwa kutatua kero za wananchi katika maeneo yetu ya kazi. Kwakufanya hivi tutakuwa tunadumisha utulivu wa nchi yetu na pia tutakuwa tunajitafutia thawabu kwa Mungu pia.
 
Kadha ya polisi sio kadhi adhimu ndio maana wanachukua walifeli shule, kulr wanatakiwa watu wasio na uelewa na uwezo wa kuhoji au kujenga hoja na kuuliza maswaki ya msingi. Mimi nilimaliza form 4 mwaka 2001 nikakosana na mjomba kwa kuwa alitaka niende jeshi ile hali nimefaulu, nikamwambia nikimaliza form 6 ntaenda, nilipomaliza nikaingia chuo akanitafutia mpaka nafasi ila mimi sikwenda kwa sababu kazi yoyote nayopokea amri bila kutumia akili yangu siwezi kufanya.
 
Back
Top Bottom