Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,076
Polisi alikuwa anamkimbiza mwizi makaburini,mwizi alipochoka akaamua kuvua nguo na kukaa juu ya kaburi,polisi alipofika akamkuta mwizi uchi juu ya kaburi ikabidi amuulize.
Polisi:samahani hujamuona mwizi hapa?
Mwizi:mie cjui maana nimezikwa jana,labda uliza kaburi lile pale lina mwezi sasa atakua anamjua
Polisi:samahani hujamuona mwizi hapa?
Mwizi:mie cjui maana nimezikwa jana,labda uliza kaburi lile pale lina mwezi sasa atakua anamjua