polisi na mwizi makaburini

polisi na mwizi makaburini

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,948
Reaction score
13,378
Polisi alikuwa anamkimbiza mwizi makaburini,mwizi alipochoka akaamua kuvua nguo na kukaa juu ya kaburi,polisi alipofika akamkuta mwizi uchi juu ya kaburi ikabidi amuulize.
Polisi:samahani hujamuona mwizi hapa?
Mwizi:mie cjui maana nimezikwa jana,labda uliza kaburi lile pale lina mwezi sasa atakua anamjua
 
Ahahahaaah! Hapo polisi huenda alizimia.
 
Nadhani aliuliza hakujibiwa! akajua kaburi limechukia akakimbia lisije likampiga
 
Hapo ni kutoka nduki na break ya kwanza ni kwa mkuu wake wa kituo na kumwambia ameamua kuacha kazi
 
Mpaka kufikia hatua ya kumuuliza aliye uchi, huyu ni mjeda wa kwel
 
Mkuu Ulikua unaagalia uwembo wa makel jakson
HONGERA KWA UBUNIFU
 
Duh ningekimbia halafu nahisi yule mwizi angetishia kama ananikimbiza kidogo tu ingekuwa balaa zaidi
 
Back
Top Bottom