Polisi mwanamke ajipiga risasi nne Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi mwanamke ajipiga risasi nne Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by geprony, Feb 8, 2011.

 1. geprony

  geprony Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hello all

  Natumaini kwa namna mmoja ama nyingine umesikia kilichotokea huko Arusha hivi karibuni, kama bado basi habari ni kwamba polisi mmoja wa kike amejipiga risasi kisa kakoromewa na maofisa wa usalama wa taifa baada ya kukosea kuongoza msafara wa mweshimiwa Rais.

  Swali ninalojiuliza ni hili, hivi hawa vijana wa usalama wa taifa wana haki gani ya kumfokea na kumtishia askari mwenzao sababu tu kakosea kitu kidogo, pili je hawa usalama wa taifa wanafanya kazi ki-professional au ndio mjomba mjomba na kutumia mabavu na je mweshimiwa rais au usalama wa taifa wenyewe wame toa tamko lolote au angalau kufutilia kujua ukweli wa kashfa hii.

  Mimi binafsi ningependa usalama wa taifa wafuatilie hili na pili kama ni kweli hiyo ndiyo sababu ya huyo askari kujiua basi waombe msamahani na askari huska wachukuliwe hatua za kisheria.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  mimi nipo arusha na niko karibu sana na baadhi ya hao polisi,jana jion nilikua polisi central sijasikia hizo habari.labda tuambie ni kituo kipi cha polisi mkuu.
   
 3. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye risasi nne ndo sijaelewa hivi inawezekana m2 ukajitwanga risasi nne ???
  au alijimiminia kwenye mguu hizo risasi maana kama nikuanzia kwenye tumbo kuja juu akiweza sana kuzifyatua hazizidi mbili..
  maana dah! nne?:roll:
   
 4. N

  Nanu JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mtoa habari, habari hii ndiyo naisikia kwa mara ya kwanza na sijui rais alikuwepo lini Arusha na msafara uliongozwa vibaya wapi? Tafadhali hebu tupe habari kamili ili tuweze kuchangia. Au umetunga hii habari au umeoanisha na habari iliyotokea Musuma 1-2 years ago?
   
 5. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Geprony hoja ulioitoa imeeleweka ila mwishoni sikuelewi. Inakuwaje hao hao unaowatuhumu ndio tena wachunguze jambo hilo? Nashani ungesema an independent body ilichunguze. Kesi ya nyani mpelekee ngedere --wapi na wapi...
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mh Arusha? huyu jamaa kachanganya na ile ya kule kwa kina mura
   
 7. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Huyu mtoa habari huenda anachanganya madawa...labda ni ile ya kule tarime ya mwaka jana, kwa Arusha hatujasikia lolote hata tetesi pia hazipo mtaani ngoja tuendelee kumsikiliza....:coffee:
   
 8. M

  Msindima JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Lini hii imetokea? Mbona hatujaisikia?
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mleta mada kakurupuka Arusha ilivyo ndogo tungesha sikia, halafu anaita habari ya Intelligence ama kweli hili neno sikuhizi limekosa umhimu wake.
   
 10. geprony

  geprony Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
 11. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Fanya utafiti kabla ya kutoa taarifa maana ukisikiliza watu wasio na habari za uhakika na wewe ukachukulia ni habari hapo sio,source ni wapi ?
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
 13. Captain Phillip

  Captain Phillip JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mkuu umetumia muda we tu kusoma uongo kweli!!!!!Tafuta ustaarabu ukafanye kazi ya uafisa uhusiano TANESCO manake unafaa
   
 14. next

  next JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Umepotosha uma kwa kukurupuka Nimekusamehe bure!
   
 15. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Napenda umakini wenu wa kuangalia tarehe ya tukio. Lakini ndugu yetu hapo juu alichokitoa kidogo naona hakijakaa sawa. RISASI NNE kwa mtu kujipiga labda atatumia mitambo James Bond au Rambo, maelezo kuwa alijipiga mwenyewe kweli akilini yanaingia.
   
 16. kidadari

  kidadari JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2016
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 2,340
  Likes Received: 1,202
  Trophy Points: 280
  hatar
   
 17. Malilambwiga

  Malilambwiga JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2016
  Joined: Jul 19, 2015
  Messages: 456
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Swala la usalama ktk msafara wa Rais siyo kitu cha kufanyia mchezo wala mzaha na mtu yeyote aliyekabidhiwa jukumu la kutekeleza.

  Neno kukosea kwa bahati mbaya ni kitu ambacho hakitakiwi kuwepo na tafsiri yake ni uzembe kwa sababu askari kabla ya kwenda kuongoza msafara wanapewa maelekezo juu ya nini cha kufanya
   
 18. Wonderful

  Wonderful JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2016
  Joined: Apr 8, 2015
  Messages: 7,500
  Likes Received: 5,175
  Trophy Points: 280
  Anapiga ile kitu tunaita rapid!!!!
   
 19. John Cannor

  John Cannor JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2016
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 1,471
  Likes Received: 1,800
  Trophy Points: 280
  hivi hizi thread za mwaka 2011 zianaibukaje kwenye new post?
  Na bado watu wanacoment vitu invalid? au ni mwendelezo wa hiyo hadithi/story

  Mhariri
  Paw
   
 20. ISIS

  ISIS JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2016
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 57,066
  Likes Received: 358,767
  Trophy Points: 280
  RIP...asakari..2010
   
Loading...