Wanzanzibari bwana!. Mmebaniwa ndio mwaona raha?. Kumbe ndio maana mwakupenda sana kule!.
Maadam polisi ni wa bara, tutahakikisha wanabana mpaka mwisho ili hicho kikundi cha kigaidi cha Zanzishababi na Zanziqaeda wasipate pa kupumulia kabisa, wabaki kutoa tuu macho kama mjuzi aliyebanwa na mlango!.