Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,351
Thanks Nkosana, afu inaonekana mie na wewe kwetu kumoja. Mpumalanga...Mleta mada anamaanisha kama ulivyosema kuboresha mahusiano ya kijamii
Thanks Nkosana, afu inaonekana mie na wewe kwetu kumoja. Mpumalanga...Mleta mada anamaanisha kama ulivyosema kuboresha mahusiano ya kijamii
asante sana ndugu yanguwamekusikia
Mkuu unalala mapangoni nn mpk neno force linakusumbuaKwanza wabadilishe jina waitwe Tanzania police service na sio Tanzania police force.Jeshi letu hili pendwa lipo kwa ajili ya forces kama enzi za mkoloni na sio services kama hapo ulivyosema
Umeelewa nilichoandika???Au kashfa ndio zilizotawala akili yako??Na umemuelewa mleta maada??Nenda kajipange upya kwa dictionary then urudiMkuu unalala mapangoni nn mpk neno force linakusumbua
asante sana memberHii ni moja ƴa thread bora kabisa hapa Jf
Mbona hatuwaoni kwenye media wakifanya positive campaigns za kujenga taswira chanya ya jeshi la police?Public Relation Office
Community Education
Hivyo Vitengo/Idara Zipo Ndani Ya Jeshi La Polisi
Kuwa msemaji ni sehemu ndogo sana ya PR aisee. Police wanahitaji reforms kubwa sana hususan ya kuanza ku deal na minds za watoto wa shule kwa maana hawa ndio watapeleka habari njema huko mitaani juu ya positive side ya police force.
Kutoa misaada ya moja kwa moja kwa makundi yenye uhitaji katika jamii kama vituo vya watoto yatima na mambo mengine yenye kuvutia katika jamii.
Sio vijana wakiona land cruiser ama defender ya police wanaanza kuwa na wasiwasi hata kama hawana makosa yoyote ya kihalifu.
Mbona unaandika kwa panic? Una hasira na mimi?Kila siku polisi inafanya PR Sema wewe akili yako imedumaa kwenye jina au polisi ajitambulishe kuwa Leo polisi tunafanya kazi ya ki-PR.
PR, ipo kila sekunde.
Mbona unaandika kwa panic? Una hasira na mimi?
Akili yangu ni sawa imedumaa that's why I keep learning everyday. sawa ndugu?Mkuu, hapana sina hasira na sija-panic.
Ila nisamehe.
Haaa haaa Haaa haaa teeeh teeeh teeeh
Usikasirike ndugu hizo ni changamoto hadi hapo nafikiri umemjua huyo ni naniMbona unaandika kwa panic? Una hasira na mimi?
Akili yangu ni sawa imedumaa that's why I keep learning everyday. sawa ndugu?