Polisi kuna kitengo cha Public Relations (PR)? Kamanda Simon Sirro muda ndio sasa

Sisi hatuna muda Wa kutafuta mahusiano mema na Raia, Tukijenga uhusiano tunaweza kupata wakati mgumu kuwagonga virungu Chadema watakapokuwa wanaandamana au wanafanya mikutano ya kisiasa
Kweli kabisa mkuu, juzi nilienda wizara ya mambo ya ndani kufiatilia jambo moja hivi ! Niliwakuta polisi pale kwenye kibanda cha ukaguzi wapo harsh na wenye taharuki utadhan nchi ipo vitan au kuna emergency. Ilibidi niondoke kwakuwa kwanza ilipaswa niwaulize wao. Nikaona tutagombana bure kwakuwa nazijua haki zangu
 
Wanacho, msemaji wao ni Mwanamama.
Kuwa msemaji wa taasisi na kudumisha uhusiano mwema na jamii hayo ni mambo mawaili tofauti kabisa. Kusema tu hakutoshi bali physical actions pia zinatakiwa kama vile RPCs and OCDs kuanza kwenda nje kusikiliza kero za kiusalama za wananchi
 
kipo na anayehusika ni afande mwakalukwa
 
Back
Top Bottom