Polisi kuna kitengo cha Public Relations (PR)? Kamanda Simon Sirro muda ndio sasa

Polisi kuna kitengo cha Public Relations (PR)? Kamanda Simon Sirro muda ndio sasa

Nafikiri issue hapa ni pesa. Nchi yetu bado ni masikini sana kuweza ku finance campaigns kama hizi kwa nchi nzima.

This country is still very very poor.
 
Kila siku polisi inafanya PR Sema wewe akili yako imedumaa kwenye jina au polisi ajitambulishe kuwa Leo polisi tunafanya kazi ya ki-PR.

PR, ipo kila sekunde.
Mkiwa mnatoa maelezo ya kitu bila kutoa kashfa mnahisi hamtaeleweka??Udumavu wa akili na hii maada wapi na wapi jirekebishe
 
IMG_20170629_171258.jpg
 
Alafu faini za lazima na rushwa naniatoe
kuna hoja. kuna mifumo mingine inaachwa makusudi kwa sababu "binafsi na za kijinga" kama hizo. Mfano ni kama TRA, nadhani pamoja na kuwa na kuwa na kurugenzi ya Elimu na mawasiliano anayoongoza Mr. Kayombo, kunatakiwa kuwe na mahusiano bora zaidi ya kikazi kati ya mfanyabiashara na TRA. Kwani TRA inajua bila Mfanyabiashara au mlipa kodi, Taasisi haipo. Hivyo ni mifumo ya kirafiki na kutembelea au kuongea na walipa kodi ni mhimu sana. Lkn kwa sasa dhana iliyoko ni very MECHANIC , na kufunga tu biashara ndio wanaona watekeleza sheria. hii inasababisha misguano isiyo ya lazima. Taasisi za serikali ni mhimu kuboresha hiki kitengo cha PR.
 
Back
Top Bottom