GE2025 Polisi kufanya mkutano mkuu wa mwaka Agosti 11 hadi 15 Kuweka mikakati na kuimarisha usalama nchini kuelekea uchaguzi mkuu

GE2025 Polisi kufanya mkutano mkuu wa mwaka Agosti 11 hadi 15 Kuweka mikakati na kuimarisha usalama nchini kuelekea uchaguzi mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ujasikia billions 700plus kwa ajili ya uchaguzi
Yaani bajeti ya daraja kama la busisi...dah nchi yangu. Hela hii ingepelekwa kujenga mahospitali au barabara au kuwezesha kaya maskini
 
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, leo Agosti 11 atafungua mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi.

Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime, amesema kuwa mkutano huo utafunguliwa Agosti 11 na utafanyika hadi Agosti 15, 2025 na kwamba lengo la mkutano huo ni kufanya tathmini ya utekelezaji wa majukumu ya Jeshi la Polisi, kuweka mikakati ya kuendelea kuimarisha na kudumisha usalama nchini, ikiwemo ya kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa 2025 unafanyika katika mazingira yenye amani, utulivu na usalama.

View attachment 3438138
Kupanga mikakati kabambe ya kuhujumu na kupora uchaguzi Mkuu
 
Back
Top Bottom