VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Kova as well as the detained suspect both need to take the lie detector test.
if the government fails fullfil requirements asked by doctors am quite sure it cant be bothered to buy a Polygraph-a divice for detecting/testing lies.am not sure if there is any so far.Kova as well as the detained suspect both need to take the lie detector test.
Chunga ulimi wako ili ukifariki uwe nao...Yaani siku hizi kila kitu ni uongo.
1. wewe Mleta habari ni muongo (askari akupigie magati kama nani)
2. Kpva ni Muongo
3. walio juu ni waongo pia
Kama hamuwezi kuamini vyombo vya usalama kwa kupika majungu, kuchunguzeni ninyi au ingieni polisi. kama kweli hayo mambo mumeambiwa na polisi hebu wasemeni. inawezekana hao wanaowaletea taarifa pembeni ndo wahusika wakuu na hivyo wanajihami. kama kweli ninyi ni wazalendo watajeni ili kurahisisha uchunguzi.Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi wamedai kuwa Ripoti zote anazozitoa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Alhaji Suleiman Kova,juu ya sakata la Dr.Ulimboka, ni za kupikwa kutoka juu. Maafisa hao, niliozungumza nao muda mfupi uliopita,wamedai kuwa Kamanda Kova hana la kufanya zaidi ya kusema anachoagizwa. '
'Kila kitu kinaratibiwa toka kwa wakuu wake' walisema Maafisa hao wenye vyeo vya Makamishna Wasaidizi wa Polisi.'Wanamdumaza kwakweli,kila wanachotaka kisikike ndicho anachosema Kamanda Kova. Si uungwana na wala si tulichofundishwa kama Maaskari' walisema kwa kulalama maafisa hao walionipigia magoti nisiwataje majina yao.Hatahivyo,maafisa hao waligoma kugoma kutaja 'juu' wanapopazungumzia...
Chunga ulimi wako ili ukifariki uwe nao...
There are many!if the government fails fullfil requirements asked by doctors am quite sure it cant be bothered to buy a Polygraph-a divice for detecting/testing lies.am not sure if there is any so far.
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi wamedai kuwa Ripoti zote anazozitoa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Alhaji Suleiman Kova,juu ya sakata la Dr.Ulimboka, ni za kupikwa kutoka juu. Maafisa hao, niliozungumza nao muda mfupi uliopita,wamedai kuwa Kamanda Kova hana la kufanya zaidi ya kusema anachoagizwa. '