Polisi Kibiti vs Polisi Mkuranga

Polisi Kibiti vs Polisi Mkuranga

Polisi gani hao?. Hawa wanaoua watu ili wachukue pesa za madini?.
Polisi hao hao wapo wema na wapo wabaya, sasa wale wabaya wanapofanya baya haina maana polisi wote ni wabaya, usisahau polisi pia ni binadamu wana utashi, haina na hisia tofauti,
 
Ishu kuna hela hua wanaenda kuokota hapo kiwandani kwa awamu sasa inaonyesha Polisi wa Kibiti njaa kali walienda siku si zamu yao ndio ikaleta balaa na wakienda wanachukua M2-5M ila hmna aliyekufa kwenye iyo ishu ni mambo ya "maokoto"
halafu ndo watuambia wamechonganishwa wkt hawatimix wajibu wao badala yake wanaweka matumbo yao mbele
 
Nimeona mahojiano na walioona tukio lile kusema kweli ni aibu mno kwa jeshi la polisi kwa mara nyingine!
Hawa ndio mapolisi tunaotarajia wawe walinzi wa mali zetu wanagombea fedha za rushwa hadi kataka kuuana!
Ndio maana uraiani wananchi hawapendi mazoea na mapolisi kwani ni hatari sana kwa mali zao!
kabisa mkuu
 
Polisi ndie anaekufanya unaishi kwa amani mkuu punguza chuki na makasiriko,
ndio maana hatuendelei , utomaso mwingi ukiona una amani juwa huna wanachokitaka kutoka kwako , tunataka amani kwa wote wenyr nacho na wasio nacho , polisi wanatakiwa kusaidia TAKUKURU kuzuia rushwa ila wao ndo wanaikuza sasa kuna amani gani hapo?
 
Polisi hao hao wapo wema na wapo wabaya, sasa wale wabaya wanapofanya baya haina maana polisi wote ni wabaya, usisahau polisi pia ni binadamu wana utashi, haina na hisia tofauti,
tunataka wote wawe wema maana ni jukumu la hao unaodai wema kuwadhibiti hao wabaya ila kuwakalia kimya bas na wao wanakuwa wabaya maana hawatimizi kiapo chao cha kuilinda nchi dhidi ya mhalifu yeyote yule
 
Polisi hao hao wapo wema na wapo wabaya, sasa wale wabaya wanapofanya baya haina maana polisi wote ni wabaya, usisahau polisi pia ni binadamu wana utashi, haina na hisia tofauti,
Sijaelewa hoja yako. Unadhani econonist hajui kuna polisi wabaya na wazuri? Umemjibu kama vile ni mtoto mdogo.
 
Leo asubuhi kupitia Clouds Fm, nilisikia wakielezea habari ya Polisi Kibiti na Polisi Mkuranga walimiminiana kwa risasi kwenye kiwanda cha Mchina, mwenye taarifa kamili aniunganishe na hiyo taarifa...
Duh sasa ule utaratibu wa kuwa na hela then kuwa na askari wa kukulinda hatar
 
Ishu kuna hela hua wanaenda kuokota hapo kiwandani kwa awamu sasa inaonyesha Polisi wa Kibiti njaa kali walienda siku si zamu yao ndio ikaleta balaa na wakienda wanachukua M2-5M ila hmna aliyekufa kwenye iyo ishu ni mambo ya "maokoto"
kuna waliokula zaidi, wakati mama alisema wale kwa urefu wa kamba zao
 
Polisi hao hao wapo wema na wapo wabaya, sasa wale wabaya wanapofanya baya haina maana polisi wote ni wabaya, usisahau polisi pia ni binadamu wana utashi, haina na hisia tofauti,
Ndiyo maana linapotokoe jambo kama hili, tunasema wameliabisha jeshi la polisi, hutuwezi kuchambua eti, kuna polisi wema, wakifanya jambo jema, taasisi mzima husifiwa bila kujali kuna wabaya, hivyo isikusumbue sana hii.
 
Back
Top Bottom