Polisi Kibiti vs Polisi Mkuranga

Polisi Kibiti vs Polisi Mkuranga

ilitakiwa uwepo upande wa kuthibitisha hilo, wabongo wakisikia mtu kajinyonga huwa wanahitimisha kwa kusema aliteswa na mapenzi bila kujua chanzo, hivyo hivyo kwenye matukio ya aina hii mtu anatoa suluhisho kuwa walidhulumiana hela , sababu za kupigana risasi zinaweza kuwa nyingi hata uzembe pia

Kama ni polisi wa sehem tofauti mkuranga na kibiti hayo maeneo ni maeneo ya matukio wanaweza kupigana risasi hata wenyewe kwa wenyewe kutokana na hofu kama hakukua na mawasiliano na kila mmoja hakutarajia uwepo wa mwenzake, na sababu zingine nyingi tu siyo kila kitu huwa kipo vile kama fikra zinapokimbilia
 
Back
Top Bottom