Polisi Kibiti vs Polisi Mkuranga

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
997
828
Leo asubuhi kupitia Clouds Fm, nilisikia wakielezea habari ya Polisi Kibiti na Polisi Mkuranga walimiminiana kwa risasi kwenye kiwanda cha Mchina, mwenye taarifa kamili aniunganishe na hiyo taarifa...

====

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji Kamishna Msaidizi wa Polisi Protas Bigeyo Mutayoba, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuongeza kuwa, Kesi ipo inaendelea Mahakama ya Wilaya Mkuranga hivyo hawezi kuliongelea kwa kina.
 
Nimeona mahojiano na walioona tukio lile kusema kweli ni aibu mno kwa jeshi la polisi kwa mara nyingine!
Hawa ndio mapolisi tunaotarajia wawe walinzi wa mali zetu wanagombea fedha za rushwa hadi kataka kuuana!
Ndio maana uraiani wananchi hawapendi mazoea na mapolisi kwani ni hatari sana kwa mali zao!
 
Hawa mbwa waki kusimamisha kweny gari waki jua una pesa wana weza kukuua kabsa
 
Nimeona mahojiano na walioona tukio lile kusema kweli ni aibu mno kwa jeshi la polisi kwa mara nyingine!
Hawa ndio mapolisi tunaotarajia wawe walinzi wa mali zetu wanagombea fedha za rushwa hadi kataka kuuana!
Ndio maana uraiani wananchi hawapendi mazoea na mapolisi kwani ni hatari sana kwa mali zao!
Aibu sana

Ova
 
Huwa nawaFnanisha police na BODABODA boda boda ni lokoro kuuubwa liliojaa kila aina ya samaria kuna kila aina ya watu kwenye jeshi la police wema,wabaya nk
Leo asubuhi kupitia Clouds Fm, nilisikia wakielezea habari ya Polisi Kibiti na Polisi Mkuranga walimiminiana kwa risasi kwenye kiwanda cha Mchina, mwenye taarifa kamili aniunganishe na hiyo taarifa...
 
Nimeona mahojiano na walioona tukio lile kusema kweli ni aibu mno kwa jeshi la polisi kwa mara nyingine!
Hawa ndio mapolisi tunaotarajia wawe walinzi wa mali zetu wanagombea fedha za rushwa hadi kataka kuuana!
Ndio maana uraiani wananchi hawapendi mazoea na mapolisi kwani ni hatari sana kwa mali zao!
Polisi ndie anaekufanya unaishi kwa amani mkuu punguza chuki na makasiriko,
 
Ishu kuna hela hua wanaenda kuokota hapo kiwandani kwa awamu sasa inaonyesha Polisi wa Kibiti njaa kali walienda siku si zamu yao ndio ikaleta balaa na wakienda wanachukua M2-5M ila hmna aliyekufa kwenye iyo ishu ni mambo ya "maokoto"
Aibu Gani Kwa Geshi La Ma~Police Tanzania
 
Back
Top Bottom