PreGE2025 Polisi kamateni Faris Burhan Mwenyekiti UVCCM Kagera kufuatia kutekwa kwa Mdude

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Nkarahacha

Member
Joined
Oct 3, 2023
Posts
25
Reaction score
47
Tuko pabaya kama nchi. Inssikitisha sana. Lakini haya niliyatarajia baada ya kifo chenye utata cha hayati raisi magufuli.
 
Projekti hii ya kumkamata bosi wao ni sawa na kuwataka wajenge mlima mbadala wa Kilimanjaro.
 
Na hapo unaweza Kuta ni swala kumi na tano
 
Polisi wetu siku hz wao Wana deal na wapinzani tu hata siku Moja hawawezi kumgusa mtu wa chama dola
 
Anaitwa Faris Baruan ni mwenyekiti uvccm mkoa wa kagera.
 
Wakishavaa hayo manguo yao wanajifanya kama miungu watu.
Usikosee kuoa. Utajuta

Mkuu Pascal Mayalla
Hivi huko mnapoenda kwenye press za muliro daily huwa mnamuuliza kuhusu huyu mtu?!
Au afika democracy unayohubiri?!
 
Mwana CCM huwa anakamatika? Tena kiongozi wao? Haupo serious
 
Anajiandaa kugombea ubunge jimbo la Kyerwa. Wahaya kazi kwenu
 
Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya watekaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…