Polisi jijini Dar wamjeruhi mtuhumiwa, yupo mahututi ICU

Kwani huyu ni nani tunayezungumza nae mpaka awe hayuko sawa kisaikolojia ninapomuliza maswali haya?
Ameomba msaada ,hivyo kama binadamu mwenye akili timamu ni lazima ukadirie hali ya mtu anayeomba msaada ili upate fursa ya kuweza kusaidia binadamu mwenzio. Ukibaki kwenye vitabu kuna uwezekano mkubwa uwezo wako usiweze kutumika kutokana na aproach yako ya vitabuni.

Hii ni real life,
vitabu tunavyokaririshwa mashuleni vinapata changamoto kubwa huku uraiani.
 
Nna mashaka na taarifa...km mara ya kwanza kapiga CM kwa mama yake,akazuia muamala usitumwe,akachezea kichapo... kwanini ampgie CM tena ndugu yake mwingine kwa jambo hilo hilo?
 
Nna mashaka na taarifa...km mara ya kwanza kapiga CM kwa mama yake,akazuia muamala usitumwe,akachezea kichapo... kwanini ampgie CM tena ndugu yake mwingine kwa jambo hilo hilo?

pia alikuwa kashagongwa sana.
 
Kuna mijitu mipopoma kweli humu, hivi ni wapi mtoa ripoti kaandika mtuhumiwa alitoa maelezo hayo akiwa ICU?? muwe mnasoma vizuri sio kukurupuka na kuleta ujuaji tu'
 
Kuna mijitu mipopoma kweli humu, hivi ni wapi mtoa ripoti kaandika mtuhumiwa alitoa maelezo hayo akiwa ICU?? muwe mnasoma vizuri sio kukurupuka na kuleta ujuaji tu'

mbona puvu!!!kwani majeruhi katoa maelezo akiwa wapi???
 
mbona puvu!!!kwani majeruhi katoa maelezo akiwa wapi???
Povu tena? Wala boss' mie nimesoma akiwa mwananyamala hospital ndio aliongea tena kwa taabu, then akafanyiwa ct -scan, ndio akapelekwa Muhimbili na ndio yupo ICU, ,so kwa uelewa wangu Mwananyamala hakuwa ICU, ICU amepelekwa Muhimbili baada ya kuzidiwa na vipimo'
 
mwanamyamala hospital emergency wamempokea mgojwa kama mtuhumiwa au majeruhi wa kipigigo cha polisi???
 
mwanamyamala hospital emergency wamempokea mgojwa kama mtuhumiwa au majeruhi wa kipigigo cha polisi???
Potezea basi boss' hata sijazoea malumbano? Kwani polisi huwa wanashika majeruhi au mtuhumiwa?' my point was that kuwa maelezo ya ndugu muandishi yanasema ,huyo aliyepigwa aliyatoa akiwa mwananyamala ( which is not ICU)' sasa sijui hizo kachumbari unaniletea sijui zimetoka wapi?
NB.case closed, sioni haja ya malumbano na sijazoea, nilinukuu tu maelezo ya ndugu mtoa habari
 
Wako wapi watetezi wa haki za binadamu? Au tufanye Street justice against police ndipo watuheshimu?
Polisi Goba, Dar, wajeruhi kwa kipigo, majeruhi yuko ICU, anapumlia mashine, madaktari wasema, kupona kwake utakuwa muujiza wa Mungu....

Jumatano, November 10, 2021, Polisi Goba walimkamata Issa Kassim (20), nyumbani kwao huko Goba kwa madai kwamba ameuziwa TV ya wizi, tukio ambalo mtuhumiwa alikana kulitenda.
 
Back
Top Bottom